Recent content by Bableee

  1. B

    Matibabu ya Lissu: Wasiojulikana na maswali yasiyojibika

    Ndugu P ni nini point yako, unawweseka naona
  2. B

    Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Wacha ma compani ya telecommunication sasa yaanze kufungwa ndio itakua jambo bora zaidi
  3. B

    Kuamsha hisia ni kosa kwa mujibu wa kifungu kipi?

    Kuna sababu ya kuwakamata wanawake wanaovaa nguo za uchi na wanaume wanaovaa nguo za uchi coz wanaamsha hisia lol
  4. B

    Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Watanzania kusikitika mitandaini haisaidi kitu, tafadhali do something. mtatekwa mpaka lini ?????????????????
  5. B

    Rais Magufuli awasilisha fomu zake za rasilimali na madeni Tume ya Maadili, viongozi watakaochelewa kukiona

    Ndugu wana Jamii !!!! Hebu nisaidieni ki unongozi hapo imekaa vipi hiii statement ya rais alipomwambia kamshna wa maadili (sipokeee document yoyote kwa viongozi wa uma ifikapo tarehe 31 Dec 2017) hii ilikua kamisna lazima apate maelekezo ya mkuu wa nchi au kamishnani ni mweledi wa kazi zake...
  6. B

    Muungano na mazonge yake: Sukari ya Zanzibar hairuhusiwi kuuzwa Tanzania Bara

    Ndugu nenda sehemu inaitwa mahonda utajua vipi miwa inapatikanwa
  7. B

    Hili la CCM kukunua wapinzani ni fursa mpya kwa wapinzani

    Habarini wana Jamii Nimeliona hili la CCM kununua wapinzani (naamini CCM inanunua wapinzani) kwa uchambuzi wangu naona kuwa CCM ni chachu ya ukuzaji wa vipaji wa chipkizi wa wapinzani, hapa nina maana kuwa wapinzani wanao nunuliwa ni taka taka ambazo ziko upinzani zinatoka kwa maana wapinzani...
  8. B

    Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

    Tusemeni tu UHURU WA TANGANYIKA, tusijibabaishe kukaa kusema uhuru wa TANZANIA BARA
  9. B

    Halmashauri Kuu imuonye Makonda, sifa zingine ni kumdhalilisha Rais

    Abanuiga baba ake si kila siku anadanganya kutoa takwimu za uongo, (nilipoingia madarakani sukari ilikua shilling 5000)
  10. B

    Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ahamia CCM

    Who knows kama hajanunuliwa kwa milioni mbili, hasa kwa hiii slog ya kuunga mkoni juhudi za kumuunga mkono Magu are serious, by the way ni haki yake ki katiba
  11. B

    Zitto: Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli na vifaa vyote vikatoka Uturuki?

    nchi za wenzetu kuna policy ya In Country Value, kwa hiyo any project lazima kutizama uzalishaji wa ndani kama hakuna unaweza kuagizia nchi za nje, nchi inataliwa iwe na standard sasa kitu hicho kinakosekanwa kwenye nchi yetu, kila kiongozi anajifanyia yeye mwenyewe apendavyo haendi na standard...
  12. B

    Dotto Bulendu: Kwanini Ikulu tu ndio wapate live coverage, Bunge, Mahakama zinafunikwa?

    Watanzania wengi waliumia sana walipoona bunge live limesitishwa kwa sababu lukuki ziso za msingi ila kwa mimi nasema kheri hutokana ndani ya tumbo la shari sasa zile live coverage zimekua diverted kutoka kwenye bunge mpaka hafla rais, katika shughuli zote rasmi rais amekua akionyeshwa mubashara...
  13. B

    Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda

    mchapa kazi ni makonda na kashaambiwa achape kazi ila wengine wakabidhi office haraka, anahisi hawajui wajibu wao akiondolewa kwenye position, Hii ni alert kwa wanao chaguliwa katika teuzi kuwa makini, he is not charismatic leader
  14. B

    Kardinali Pengo: Tumuombee Rais Magufuli

    tumuombee magu pekeeyake vipi lisu
Back
Top Bottom