UVCCM ya wakati huu ipo Imara sana chini ya Katibu Mkuu Kenani Kihongosi. Mpaka sasa ni jumuia pekee ya vijana katika vyama vya siasa Afrika inayongoza kwa Mikakati na Kuisimamia ilani ya Uchaguzi ya CCM. Imevuka viwango vya Kimataifa. Inasimamiwa ns vijana makini ws kimkakati. UVCCM hii si ile...
Nimesoma huu uzi kwa makini sana, Nilichogundua uzi umekaa kinafiki sana. Na kikubwa ni CHAWA wa Sauli ndiye kaandika hilo gazeti ili kumfurahisha boss wake baada ya kuona Brand ya Kilimanjaro haishuki.
Kilimanjaro kaanza ruti za Tunduma Dar sasa anawakimbiza huko wameanza kutafutana. Kaa...
Mtoa hoja kwanza unazungumzia Kilimanjaro Bus ipi? Moja ya kampuni smbazo zinaongoza na ndio mfumo wake unaigwa na Kampuni zote za Ma Bus ni Kilimanjaro Truck. Huduma zake ni za Uhakika, Hawana historia ya kujaza abiria, kuacha Abiria wala kutoa huduma tofauti na abiria sliyoahidiwa.
Katika...
Vyombo vya ulinzi na usalama ni vyema kutumia busara na sheria juu ya hili linaloendelea pale Uhuru Height, nimesikia audio hiyo ya ma baunsa wakipeana taarifa juu ya kufanya Invection katika jengo la Uhuru height. taarifa hii inaelekeza tukio litafanyika jumatano ambayo ni siku ya sikukuu kwa...
Still anahudumia mpaka kesho, Hizi nyumba za ibada ni one time needs. Nafikiri cha Msingi ni mimi na ww kutafuta pesa si kupangia wengine waliotafuta zao jinsi ya kuzitumia
Sent from my SM-G980F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.