Recent content by Babe la mji

  1. Babe la mji

    Fahamu Makabila Makubwa Maarufu Yanayounda Kanisa la Wasabato

    Wasabato Kwa upande mmoja kimaadili wapo vizuri sana ila shida Yao kubwa ni kuamini kuwa watu wote ambao sio wasabato wataenda MOTONI.Pia huamini kuwa Papa ni mwakilishi wa shetani duniani na ukatoliki ni dini ya kishetani .Ni ajabu sana Kwa wao kutokutambua kazi kubwa ya kanisa la RC duniani...
  2. Babe la mji

    Paschal Mayalla hongera sana ingawa nabii hakubaliki kwao lakini mchango wako ni mkubwa sana kwa Taifa letu

    Mkuu Pasko pokea shukurani zangu za dhati Kwa mchango unaoutoa kwenye nchi yetu kupitia taaluma yako ya uandishi wa habari, ambazo mara nyingi huwa Kwa mfumo wa makala ambapo huandika Kwa kutumia facts na kuweka masuluhisho ya makala husika. Kama serikali yetu ingekua inayafanyia kazi maandiko...
  3. Babe la mji

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Asante sana Kwa majibu mzuri .usife moyi endelea kutuletea updates
  4. Babe la mji

    Maoni kwa Wizara mbalimbali yaliyotolewa na Wadau wa Twitter Space ya Jamiiforums Januari 26, 2023

    Wizara ya Fedha upunguze riba kwenye mabenki ya biashara Kwa sababu hali iliyopo sio ya kumwinua mwananchi awe mfanyabiashara mkubwa zaidi ya kufilisika. Pia serikali iweke anagalau hata muda wa Miaka miwili Kwa mkopaji kuanza kulejesha mkopo wake.Asanteni sana
  5. Babe la mji

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Mkuu Figganigga vipi yule sniper wetu Wali anaendeleaje.Pia tunaomba uwe unatuwekea idadi ya askari wa urusi waliokwishakufa na kijeluhiwa kama zamani ulivokua unafanya.Hongera Kwa kuendelea kuletea updates stay blessed.
  6. Babe la mji

    Nimemsikiliza Mbowe kuhusu Katiba Mpya, naunga mkono hoja ya kwamba amelambishwa asali

    Katiba mpya ni mwakani watanzania kuweni na amani na Mbowe anaongea anachokijua.Mchakato wa katiba mpya unaanza mwakani .
  7. Babe la mji

    Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Ni ujinga mkubwa Sana kuishi na mwanamke/Mwanaume msaliti kwa Sababu kama ukisamegw mwisho wake mtakuja kuuana .Hata Rais mtaafu wa south Africa marehemu Mandela alimpa talaka Winie Mandela kisa usaliti.
  8. Babe la mji

    Mapinduzi ya Kijeshi yatokea nchini Burkina Faso

    Hilo sio Jeshi ni wahuni tu .
  9. Babe la mji

    Rwanda wamedhibiti Uhalifu 95% kwa mtutu

    Huna akili Yani kwa swala la usalama ndo uilinganishe Tanzania na Rwanda? Vipi hujui hiyo nchi hadi Sasa hivi Ina waaasi? Je huo usalama ni upi unaosemea? Kabla ya kuposti tumia kwanza akili kwa swala la usalama Tanzania inaongoza East and central Africa.Kwa ishu ya usalama Rwanda Hali yake ni...
  10. Babe la mji

    General Mkunda: Ni marufuku Wanajeshi kujiingiza kwenye Siasa, Jeshi liliondolewa kwenye Siasa kuanzia 1992

    Cha ajabu huwezi kuteuliwa nafas kubwa kama hiyo bila kadi ya chama.
  11. Babe la mji

    Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

    Mtoabmada upo sahihi kabisa inagawa ni kweli Lisu ana karama ya uongozi lakini kuwa Rais hizo sifa hana .Anajiamini kupita kiasi na kwa huluka yake na maamuzi kumshinda hadi Jpm ni zaidi ya Simba maana haogopi mtu.Sasa kwa Hali ya uongozi hyo Hali sio nzuri .
Back
Top Bottom