Habari wakuu wa jf, kwa wale ambao munatumia pikipiki za hero hunter 125 cc na dawn 125 cc tujulishane changamoto na faida za pikipiki za hero hasa kwenye uimara na upatikanaji wa spare
Sent from my itel L5002P using JamiiForums mobile app
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nahitaji Graphic designer wa kunitengenezea id card inayofanana na hii
aliye tayari anicheki 0628505577
Sent from my itel L5002P using JamiiForums mobile app
Wadau wa jf ushauri wenu unahitajika aina ipi ya bajaji inafaa kwa matumizi ya biashara
Piaggio
Tvs
Bajaj
Re
Mahindra
N.k
Tupeane ujuzi kuhusu ulaji wa mafuta, spare pamoja na bei zake
Hivi karibuni kuna pikipiki mpya zimeingia zinaitwa lifo zinasifika kwa ulaji mdogo wa mafuta zina Cc 110 kwa wale ambao mmeshaitumia naombeni kufahamu
Upatikanaji wa spare
Uimara wake
N.k
Tatizo mnaotumia mastercard mtapata shida sana kutoa pesa 1xbet Visa ndo wanafaa kadi zao zinaruhusu hela kuingia from third-party lakini ukitumia mastercard utahangaika sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.