Unakuta jirani wa kike sio mzuri sana wa kawaida tu si unajua kuna siku za kuzidiwa unajaribu kumuapproach jiran anakuwa mkali anakujibu hovyo kibingwa unakubali yaishe tu maisha yaendelee.
Siku umepata pisi yenyewe imekuja geto jirani anaanza kununa akisalimiwa anakaa kimya sasa jirani wa...
Kamata mataa..
Tazara..
Fire..
Taa zote za Morogoro Road
No one cares kila mtu ana haraka hakuna kuheshimu mataa mwendo wa kuviziana hizi sehemu ndio zinafanya kuendesha pikipiki dsm iwe risk x2.
Ukizubaa inakula kwako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.