We jamaa unapata tabu sio kidogo kumchukia mondi.yaani unafananisha albam ya mond ambayo nyimbo karibu zote zilikuwa zinajulikana na albam mpya???¿?? Pole sana ndugu yangu sio kwa tabu hizo kutwa kufuatilia mondi amefeli wapi ili upoze maumivu yako
Ukisikia tusi kwenye wimbo hapa bongo jua tatizo ni kichwa chako kinavyotafsiri.
"Nikupake wese, nesanesa,weka mate niteleze kama nyoka pangoni,etc."
Umeona tusi gani hapo kama sio matatizo ya akili yako binafsi?
Mnamkuza sana jamaa kuliko uwezo.
Shabiki wa Kiba hawajielewi.
Kiba anategemea kiki ila anajifanya kama hategemei hivi. Kumbuka kipindi anataka kutangaza kuhusu ile tour yake kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa anatoa tamko rasmi kama sio kutumia ile attention iliyotengenezwa na Diamond...
Source ;wasafi tv and clouds fm Facebook and YouTube channel
Akitengeneza nyimbo kama
Niache ya Diamond platnumz
Utatulia ya lava lava
Na nyingine nyingi za harmonize
Sababu anasema ni maslahi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.