Recent content by Babake mwanaidi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kaimu DSO Kiteto anakuharibia Chukua hatua mapema!

    Mh.Rais najua nimechukua hatua kubwa sana kukushtakia huyu bwanamdogo .anaekaimu Ofisi ya DSO Kiteto .anawaita watumishi Ofisini kwake na kuwatishia kuwapiga, vitisho visivyo na msingi. Amewazuia watumishi kutoka Arusha na longido waliokuja kwenye mafunzo bila sababu za msingi. Hatuelewi hatma...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma, leo hamtangaziwi nyongeza, bali kulipwa sehemu ya madeni yenu ya nyongeza

    Hata hiyo inatosha maana haikuwepo
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Nawapongeza Sana, ninafurahishwa na Ukomavu wenu Kisiasa

    Sikubaliani na wewe.
  4. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Nawapongeza Sana, ninafurahishwa na Ukomavu wenu Kisiasa

    Very good advice.
  5. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Nawapongeza Sana, ninafurahishwa na Ukomavu wenu Kisiasa

    Naunga mkono hoja
  6. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Nawapongeza Sana, ninafurahishwa na Ukomavu wenu Kisiasa

    Sawa kabisa msidhani kila anaejiunga na chadema ana nia njema wengine wavurugaji.
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Nawapongeza Sana, ninafurahishwa na Ukomavu wenu Kisiasa

    Kabisa msivunjike moyo Nafahamu mateso mnayopitia
  8. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Nawapongeza Sana, ninafurahishwa na Ukomavu wenu Kisiasa

    Nieleze wazi kabisa mimi ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi . Kwanza niwape kongole wenzangu baada ya kumpata Mwenyekiti Mpya Mama yetu MH.Samia Suluhu Hassa. Lengo la kuanzisha uzi huu ni kukipongeza Chama Kikuu cha Upinzani nchini kwa kuonesha Ukomavu wa kisiasa hasa katika uvumilivu wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

    Watoto wa kike muwe waangalifu hasa mnapokuwa masomoni.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Maji ya Kilimanjaro

    Inawezekana .nilikua naongea na jamaa hapa wanasema hivohivo yana chumvi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

    Na kwenye wizi mnazidiwa na nani
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ume date na w/ke au w/ume wangapi?

    Maswali mengine bana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hali yangu kiafya si nzuri. Maombi yenu Wakuu

    Mikusanyiko nchi hii haijapigwa marufuku.nenda stendi, sokoni watu kibao
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hali yangu kiafya si nzuri. Maombi yenu Wakuu

    Corona ipo acha kusikiliza serikali utakufa wewe.fuata ushauri uliopewa hapaa.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hali yangu kiafya si nzuri. Maombi yenu Wakuu

    Aanze kupiga dozi tangawizi na mazoezi. Corona ukilala ndio unakwenda inatakiwa kufanya mazoezi kufungua mbavu hizo.
Back
Top Bottom