Recent content by BabaKasheshe

  1. B

    Natafuta kampuni ndogo ya IT ya kununua

    Asante kwa mawazo ya maana mkuu. mimi ni mtaalamu wa maswala yote ya project managament ( lakini ni Bcom graduate) na nina uzoefu wa kutosha ndani na nje ya nchi. ni kweli sina uzofu mkubwa wa iT kwa maana kwamba mfano siwezi andika CODEs kutengeneza software ila niaweza kusimamia vizuri hawa...
  2. B

    Natafuta kampuni ndogo ya IT ya kununua

    hapana sio uvivu...ni mbinu tu ya biashara maana mimi sina uzoefu mkubwa sana wa sector hii, kwaio ni vizuri nikaendeleza kitu kilichopo na sio kuanza from scratch.
  3. B

    Natafuta kampuni ndogo ya IT ya kununua

    nashukuru kwa idea kaka...najaribu kukimbia risk . natafta at least company ilio break-even..
  4. B

    Natafuta kampuni ndogo ya IT ya kununua

    ni kweli lakine mtu mwengine anaeza akauza shares kwa ajili ya kutanua biashara/kampuni.....say kama kuna branch moja na unataka ongeza branch mkoani say dodoma na huna capital ya kutosha
  5. B

    Natafuta kampuni ndogo ya IT ya kununua

    either kuinunua 100% au baadhi ya shares minimum 51% ya share
  6. B

    Natafuta kampuni ndogo ya IT ya kununua

    Salama wana jamvi. Natufuta kampuni ndogo ya IT ( creative, software development ilioanzishwa na graduates. Iwe ana wateja tayari wa uhakika na walue iwe imeweza ku breakeven kimapato. Ni-pm kwa mazungumzo zaidi. Asanteni sana.
  7. B

    Used Noah

    Salama JF ....Natafta mwenye Noah Anauza budget yangu mil 5. Asanteni
  8. B

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    USHAURI: 1. Badili staili na utaratibu wa kufanya mapenzi. Usichague kama ni sakafuni, bafuni, kwenye gari, kochi ( watoto wasione). Hii itasaidia sana kwanza ataona unamthamini zaidi na bado unamatamanio kwako ya enzi za uchumba, hili hua pia linasababnisha matatizo kama yako. Pili kuna dalili...
  9. B

    Makonda apewa siku saba kesi ya Guninita

    wakina Guninita ‘wamtia’ DC Makonda kortini - Kitaifa - mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametakiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuwasilisha utetezi dhidi ya madai ya makada wawili wa CCM, John Guninita na Mgana Msindai kuwa aliwadhalilisha...
  10. B

    Padre Jean Baptiste Mapunda si ulifukuzwa Zambia wewe katika shirika lako la missionaries ofAfrica?

    Na wewe tutakuanika,. Kwani wewe ni msafi sana??mavi tu :disapointed:.....kamjibu na wewe kwa makala za hoja na sio umbea humu ndani...ka vipi kaimbe taarab DARLIVE..huku ni kwa great thinkers tu......
  11. B

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    sku izi ajira kweli njenje....unalipwa sh ngapi na CDM kwa kazi hii......hehehheehheh tutaona mengi mwaka huuu :shocked:
  12. B

    Alama Rasmi ya Chama cha ACT-Wazalendo - Toa Maoni Yako

    Hio sense wewe huwezi kuona maana sio mwanachama kwaio haikuhusu, wacha kiherehere......:eyebrows:
  13. B

    Alama Rasmi ya Chama cha ACT-Wazalendo - Toa Maoni Yako

    Kwaio Mbeya City wote ni marehem???Ebu acheni kurukaruka kusiko na maana, mwacheni sasa afanye yake.......:disapointed:
  14. B

    Alama Rasmi ya Chama cha ACT-Wazalendo - Toa Maoni Yako

    kweli hili jamvi sasa na wasio great thinkers wameingia....seriously mtu analeta hoja kujadili vidole...???????:pout:
Back
Top Bottom