Recent content by babadullah

  1. babadullah

    Waliowahi kuishi kijiwe au ngome wachangie hapa

    Watu husema jela jeraha wengine husema jela geto la masela Wengine husema Kuna jela na Gest na eti ukifka Kuna mijeba inakugombania haya maneno Yana ukwel wowote Na unapaswa uishije ili urudi bado rijali
  2. babadullah

    Elimu isiwe Ni kikwazo Cha kufanya shughuli za mtaani

    Utakuta kijana kamaliza chuo halafu ajira Hana na jamii inatambua kua yeye Ni msomi hivo anaona Ni kijidhalilisha kufanya shughuli za kitaa za tofaut na taaluma yake ili apate pesa Mwisho wa siku anajikuta life linakua gumu Zaid ya hata wasioosoma,me niwaase ndugu zangu tusichague shughuli ya...
  3. babadullah

    Msaaaaada

    Wakuu naomba kujuzwa namna ya kufuta post humu jf
  4. babadullah

    SUMBULA ana cheo gani ndani ya harim ya sultan

    Kama kawa baada ya kazi za mchana kutwa huwa tuna refresh mind kwa mitindo tofaut Binafs huwa napenda muvi hasa tamthilia iitwayo sultana ndani ya azam two Nadhani kwa wanaofatilia hii tamthilia watakua wanamjua SUMBULA huyu jamaa ananiacha hoi Sana Yan kote kote yupo af kimbelembele balaa
  5. babadullah

    Naomba ushauri biashara ya kusajili laini na kuuza vocha

    Idea zingine zinahitaji mda mwingi hii nimeipenda coz haihitaji kuandaa sana
  6. babadullah

    Natafuta mahali pa kujitolea kwa kipindi hiki

    DU ndicho unachowaza tu
  7. babadullah

    Naomba ushauri biashara ya kusajili laini na kuuza vocha

    Wakuu, Nimeamua nianzishe kamtaji kakujiongezea kipato cha ziada maana mashaallah nina kibarua kinaniingizia elf kumi ndani ya saa nne, hivyo najikuta ikifka saa 4 asubuhi nimeshamaliza job nakuwa free. Nimewaza nianzishe haka kabiashara kakusajili line, vocha na vifurushi. Naomba mwenye...
  8. babadullah

    Mwenye uelewa na vifurushi vya azam tv anieleweshe

    Mwezi uliopita nilieka kifurushi Cha lite Cha 10000,mwezi huu nikaona nieke Cha 18000 ili nipate channel nyingi Zaid nashangaa imeongezeka azam sport na azam sport 2 Je ndio kawaida au nishaibiwa
Back
Top Bottom