Mihemuko ya kisiasa haiwezi kuleta maendeleo so tufanye kwanza uchunguzi wa kina ndo tutoe post zetu watu wazijadili... Yapasa tujiulize kwanini Boom limekiwa likisababisha maneno mengi sana katika jamii zetu.. Me nachoamini mheshimiwa waziri anaijenga Elimu yetu haswa kwa kiboresha mfumo mzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.