Habari za jioni wakuu!
Nahitaji spear mbalimbali za gari aina ya Toyota 1 st nauliza kwa dar ni wapi naweza pata kwa bei nafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za Idi wakuu! Ningependa kujua utaratibu wa fidia kwa mtumishi wa halmashauri kupitia mfuko wa wcf akipata ajali akiwa kazini inakuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jioni bandugu!Mimi nipo Moshi
kwa sk za hivi karibuni ktk kingamuzi cha Azam channel nyingi za bongo zimekuwa hazionekani.Ningependa kujua sababu nini sanasana
Usifanye kazi kwa kufuata mkumbo kaka tazama fursa iliyopo uitendee haki mm niko huko na ninajua nini kinaendelea,pia kama hujapitia Jkt usiote kuwa askari wa Jwtz.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.