Hawa watu naweza kusema wengi wa elements za kizungu ndiyo maana Nyerere alishika hatamu kwa Kilimanjaro miaka ya nyumba niliwahi kuhishi moshi vijijini maeneo ya Kibosho Umbwe kuna mambo makubwa mawili niliona yatofauti kubwa na sehemu nyingine moja wanapenda maendeleo hasa elimu na afya (1)...
Pasco Tundu Lisu alionya sana kwa nguvu zake zake zote hakuna alie msikia lakini kilichotokea tuliimbishwa na kuaminishwa kwamba ni wakala wa mabeberu wanamlipa ili kututia hovu tuogope kufanya kiletulicho kuwa tunafanya matokeo yake alichakazwa kwakuwa alikuwa na nia njema Mungu akamuikoa na...
Nani hashimu katiba kati ya mwandishi na bunge katiba inasema serekali itaheshimu bajeti itakayo pitishwa na bunge na kama serekali itaitaji hela shariti iombe bunge hata kama ni jambo la dharura bajeti zilizo pita hasa 2016-2017 serekali haikutumia bajeti iliyopitishwa na bunge iliteneza...
Tatizo kubwa chama hakina kiongozi kinajiendea kama gari lisilo na taa usiku na dreva hayubo kila anaendesha anakosea wakiambiwa mnatumbukiza shimoni gari wanakuwa wakali
haya sasa Mwenyekiti wamemsahau ndani
ni aibu kubwa na nizaidi ya tatizo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani anawekwa...
Viongozi wa Chadema na wakereketwa wao wanaomtukana Kakobe mmenifundisha kwamba unaweza kufanya mema sana lakini siku usipo fanya wanalo penda watakusulubu kama adui
Yesu alifundisha akawaponya Mafarisayo miujiza ikafanyika nyingi siku ya siku wakamwambia Plato asulubiwe walewale waliokuwa...
Mgelekeza nguvu kuwaandika mafisadi nankufichua mipango yao ya kuibia nchi mgekuwa mmefanya jambo la faida kuliko nguvu mnayo tumia kumtukana Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vijana naona wamepewa kazi maalum ya kumchafua Lisu ni ngumu sana kumchafua Lisu ukawa salama kwasababu historia inamlinda
Unaposema hana uzalendo anaichafua nchi kwa kitu gani huna tofauti na ule unafiki wa kusema mzazi au ndugu amefanya tendo ovu la ubakaji ndani ya familia mnasema...
Mtaniambia nani anauwezo wa kumwambia jiwe akae na wapinzani na akakubali nani anaujasiri huo hakuna mwingine ni Kakobe tu
ni nani ndani nchi hii anauwezo wa kumwambia Magufuli asipende kusifiwa na watu wote tukijua mzee wetu anavyo penda kusifiwa na imekuwa kawaida usipo msifu unakuwa adui hapo...
Naona unajitaidi kudhibitisha kwamba kweli tunatawaliwa na unafiki mpaka imekuwa ni sehemu ya maisha yetu kama kuna mtu haoni kwamba Ndugai na bunge limekuwa la hovyo kupitiliza mpaka limepoteza maana ya bunge basi anatatizo kubwa sana Hili la udini naona nikubwa ila kutokana na unafiki au hovu...
Kuna uwezekano kuna mtu alikaripiwa kwanini uliwapa nafasi ya kuongea ndiyo maana leo hakuruhusiwa mpinzani kupata nafasi ya kuongea
ufunguzi wa daraja umetumika kila mwana maccm alieongea kushambulia kwanamna moja au nyingine hoja za Mnyika
Wapinzani wamegeuziwa kibao kama ndiyo mafisadi wa nchi wakiongea wabaya ni wakina Mbowe sijui waliwahi kuingia mkataba upi
Jana mzee katoa mpya ambayo ndiyo sitaili wamekuja nayo sasa hivi kwamba kodi ndiyo zinajenga barabara kodi hizo sikusote hazikuwa zinakusanywa badala ya kusema Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.