Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Yaani kama wewe ni mgeni Tanzania na hukuwahi sikia na hujui historia ya nchi hii.

Ikitokea ukawasili leo na kuanza kuwasikiliza viongozi wa serikali kuanzia Mh Rais,Mawaziri,Makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,wabunge na madiwani hususani wa chama kinachotawala pamoja na viongozi wa chama kinachotawala,lazima utaamini nchi hii kuna chama kimeondolewa madarakani hivi karibuni na sasa tuna chama kipya kimeshika dola.

Maana viongozi wa Chama na Serikali wote wanasema nchi hii imeibiwa sana,imechezewa sana,tumecheleweshwa sana,sasa unajiuliza ni akina nani hawa?

Yaani ukiwatazama viongozi wetu wanavyolalamika unaweza amini wote walioifikisha hii nchi washasukumwa ndani,wanapishana kwenye kuta za mahakama kujibu tuhuma za kutuibia.

Haya mambo hayaaaa.

Miaka yote hiyo CCM imekuwa madarakani kama ni kuibiwa au kucheleweshwa ni hao hao CCM
 
ina maana awamu zilizopita ndizo zimetupapasa hivi?? Je awamu hizo ziliongozwa na chama kipi?
 
Yaani kama wewe ni mgeni Tanzania na hukuwahi sikia na hujui historia ya nchi hii.

Ikitokea ukawasili leo na kuanza kuwasikiliza viongozi wa serikali kuanzia Mh Rais,Mawaziri,Makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,wabunge na madiwani hususani wa chama kinachotawala pamoja na viongozi wa chama kinachotawala,lazima utaamini nchi hii kuna chama kimeondolewa madarakani hivi karibuni na sasa tuna chama kipya kimeshika dola.

Maana viongozi wa Chama na Serikali wote wanasema nchi hii imeibiwa sana,imechezewa sana,tumecheleweshwa sana,sasa unajiuliza ni akina nani hawa?

Yaani ukiwatazama viongozi wetu wanavyolalamika unaweza amini wote walioifikisha hii nchi washasukumwa ndani,wanapishana kwenye kuta za mahakama kujibu tuhuma za kutuibia.

Haya mambo hayaaaa.

Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?
Mkuu hili ni swali zuri sana,hata mimi nimeliuliza mara nyingi,lakini hakuna majibu.Ni kama nchi haina mwenyewe hivi,kila mtu yuko kimya,hayatuhusu na tunaendelea na hamsini zetu.Watu hawa wapo katikati yetu,tunakula nao,tunawaona na wanakula butter.Sasa kwa nini wengine wasifisidi?Tabia hii ya kulindana itaisha lini sijui,maana hata JPM pamoja na kumsifu kote na ukali wake wote,naye anayo.Wapo waliouza madini yetu na viwanda vyetu kwa bei poa na ya kutupa,lakini tumeambiwa eti tuwaache wapumzike.Kweli jamani?Hapana, inauma sana.
 
Wapinzani wamegeuziwa kibao kama ndiyo mafisadi wa nchi wakiongea wabaya ni wakina Mbowe sijui waliwahi kuingia mkataba upi
Jana mzee katoa mpya ambayo ndiyo sitaili wamekuja nayo sasa hivi kwamba kodi ndiyo zinajenga barabara kodi hizo sikusote hazikuwa zinakusanywa badala ya kusema Magufuli amejenga mnasema kodi
kuongozwa na viongozi wenye mawazo kama haya ni janga lataifa
 
Najaribu kufufua uzi mfu walioiba wapo chadema Nyalandu-jangili,Lowassa-fisadi papa na Sumaye fisadi wa ardhi!
 
Kada wa cdm inaonekana hujaelewa mada, mada inasema kwamba sasa hivi wanaccm wote wanaimba tuliibiwa sana. Je walioibia hii nchi mbona hawachukuliwi hatua? Jikite hapo maana cdm sio kinga ya mkono wa sheria kwani hata Mbowe yuko ndani hivi sasa.
 
Ndivyo ilivyo tunajua majizi yapo chadema!
 
Kada wa cdm inaonekana hujaelewa mada, mada inasema kwamba sasa hivi wanaccm wote wanaimba tuliibiwa sana. Je walioibia hii nchi mbona hawachukuliwi hatua? Jikite hapo maana cdm sio kinga ya mkono wa sheria kwani hata Mbowe yuko ndani hivi sasa.
Mkuu kumuelewesha changudoa umuhimu wa kuyalinda marinda utajipa kazi tuu,si umeona anarudia kujibu kile kile ulichomuelekeza
 
Kuna vitu mnajifanya hamvioni. CCM inajaribu kujibadilisha na wanachujana wenyewe kwa wenyewe wakati CDM inajaribu kujidanganya kwamba toka EL aingie na kundi lake na Slaa kuondoka bado wapo imara kama zamani.
 
Ndo hao hao wanaojifanya leo Wana uchungu na nchi wakati huo wakipitisha sheria za kuhujumu rasilimali za nchi
 
Back
Top Bottom