Nawasalimu,
Nawasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Pangani–Machinjio Mapya.
Barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu na haijawahi kufanyiwa matengenezo kwa kutumia greda kwa kipindi kirefu, hali inayowasababishia usumbufu na changamoto kubwa watumiaji wa barabara...
Surat Kafirun
"Lakum deenukum waliya deeni"
Mtume aliwaambia makafiri ...."Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu"
Kwenye hili suala la kifo ni fumbo ambalo utatuzi wake upo kwenye imani zetu za dini
Mfano mimi naamini tutakufa na kuzikwa kwa muda usiojulikana kisha siku ya Qiyama ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.