..... Mkuu hili swala lipo nimeliona lakini kunamzee mmoja nili wait kumuuliza nikwanini alini jibu hivi umewai kuisoma biblia? Nikamwambia ndiyo akasema unakumbuka kuna neno linasema mama jusi wamashariki wakiona nyota ya yesu akizaliwa? Nikamwambia ndiyo.akasema hivi nailenyota ilikuwa ninyota...
Heshima nashukrani nikwake yeye aliye tupa juzi yetu Jana yetu na Leo yetu. tusichoke kumwomba atimize matakwa yake kwetu kama vile atakavyo tuwe natuwe hivyo.
Heshima pia kwenu ndugu zangu wana jf kwakuwa watu wenye mchango mkubwa saana kwa inchi yetu na jamii yetu kwa ujumla.
Wakuu nimefanya...
Nategemea kukamatwa kwa wasio julikana.kwani wamekuwa tishio LA usalama wa taifa letu.nategemea Uhuru wa vyombo vya habari. nategemea kupatikana kwa waliompiga lisasi lisu. nategemea kupewa makazi mapya walio vunjiwa nyumba . nategemea kuanzishwa kwa katibampya.
Nategemea kumaliziwa kwamladi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.