Recent content by Baba Ubaya

  1. B

    TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    Tanesco ni kama watabiri wa nyota maana kila siku wanakuja na story mpya. Mie nieisha choka nao nymbani kwangu nimeweka solar kuondokana na hizi sarakasi za tanesco. Miaka 50 ya UHURU bado tuanishi kama wanyama wa porini.
  2. B

    Kivuko cha Busisi Mwanza hali is nzuri

    Kwa wakazi wa mwanza hali ya kivuko cha busisi kwenda sengerema hali inazidi kua mbaya badala ya kuboreka. Uvushaji wa abiria hapa na magari ni kero sana. Hiki ni kivuko cha Serikali tulitegemea hali ingekua nzuri hasa baada ya barabara ya kwenda geita hadi bukoba kuwa lami imefanya magari...
  3. B

    Ukweli kuhusu Habari ya Mwanafunzi aliyemzalisha mwalimu

    Mmm afazali umefafanua hii habari haikua nzuri hata kidogo kwenye nyanja ya elimu. Na hawa waandishi wetu wajifunze kuandika habari zenye uwiano na data wanazopewa sio kuongeza chmvi kama hii
  4. B

    Asali mbichi unaitambuaje?

    Wallet ukitaka kuijua asali mbichi ambayo haijachanganywa chukua karatasi nyeupe size ya A4 mwaga asli juu yake kama kijiko kimoja au viwili vya chakula kaa muda wa dakika mbili. Kama iyo karatasi haijaloana kwa chini basi hiyo asali ni mbichi. Njia nyengine ni kutumia njiti ya kiberiti...
  5. B

    Ni kweli Lissu ndo anakwamisha mchakato wa katiba mpya?

    Kwenye magazeti ya leo yamemnukuu Lukuvi akisema Lissu ndio anayekwamisha mchakato wa katiba na kama Lissu atatumia ushawishi wake basi katiba mpya itapatikana. Swali la kujiuliza je ni kweli Lukuvi anaamini ivyo au anajaribu kuamisha tatizo. Hivi kweli Lissu peke yake anaweza kuwa ndio...
  6. B

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako umenisaidia sana mungu akubariki
  7. B

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Nashukuru mkuu mkuu niliiona hii ila inahitaji maelekezo kidogo kama ndo mara yako ya kwanza kuitumia ili uwe sahihi na makisio yako
  8. B

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Wakuu heshima mbele Naomba msaada nimeagiza gari kutoka japan nissan x trail garama zake mpaka kufika dar yaani cif to dar ni million 7 na nusu gari ni ya mwaka 2004 kwa wale wataalamu wa kodi hizi za uchakavu je ni kweli kodi inaweza kuzidi hiyo amount niliyotumia kuagiza hilo gari? Kwa...
  9. B

    Tundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni wala rushwa

    Umetumwa kuwasemea au na we ni mmoja wao suburi wenyewe wakanushe
  10. B

    Serikali ya Uingereza yataadharisha (caution) raia wake kwenda Zanzibar

    Kinachonikera mimi matukio yote haya yanatokea lakini hakuna mtu anakamatwa hii inaleta wasiwasi sana
  11. B

    Fao la kujitoa: Nimeamini kweli Zitto Kabwe anauma na kupuliza !

    Najua unakokwenda utaniambia benefiti watu wanazopta ni yale matibabu na zile nyumba ambazo hadi uwe na milioni kazaa bank ndio upate. Mimi siko huko mfano mdogo tu nenda hata hapo Namibia tu au Africa ya kusini wafanyakazi wa kawaida wanavoweza kupata mikopo ya nyumba kwa utaratibu ambao ni...
  12. B

    Fao la kujitoa: Nimeamini kweli Zitto Kabwe anauma na kupuliza !

    Umeisha sema nchi zilizondelea kwani Tanzania ni moja ya hizo nchi fanya upembuzi kwanza unapojibu hoja. Hizo nchi unazozisema wafanyakazi wanabefeiti kibao na hiyo mifuko na hata ajira zao pia. Sio sie hapa ajira mkononi hujui kesho itakuaje.
  13. B

    Fao la kujitoa: Nimeamini kweli Zitto Kabwe anauma na kupuliza !

    Salam wanajamvi Nimesoma gaazeti la citezen zito zuberi kabwe anapinga wanachama kuchukua pesa zao kwenye mifuko ya hifazi ya jamii, sababu kubwa kwake ni kufilisika kwa hii mifuko pindi wanachama watakapochukua pesa zao. Zito anashindwa kuelewa kuwa hizo pesa ni za wanachama na wana haki ya...
Back
Top Bottom