Recent content by baba sofi

  1. baba sofi

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuanza kushughulikia kesi za mimba za utotoni zinazomalizwa kinyemela mitaani

    Utafurahi mtoto wako akipewa mimba shuleni?halafu anaonyesha mfano gani kwa wanafunzi wenzake?
  2. baba sofi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Ni kweli kikuu ni wezi na waongo nimelipia mzigo namba 62003030573 na sijaupata mpala sasa ingawa imeandikwa mzigo delivered na nimejaribu kuwasiliana nao mpaka sasa sijapata majibu,na niliwaambia watume gharama za usafiri nitalipia ingawa waliandika wanatuma popote ndani ya tanzania lakini...
  3. baba sofi

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa kodi kwa Mtumishi wa Umma unapoagiza gari

    Mimi ni mtumishi wa umma katika taasisi ya utafiti wa viwanda ambaye nastaafu 2025 na ngazi ya mshahara wangu tgs c je naweza pata msamaha wa kodi kwa kuagiza gari nje?
  4. baba sofi

    JamiiForums Tanzania Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

    Naomba msaada wa kuroot phantom 6plus yenye ver.7.1.
Back
Top Bottom