Recent content by Baba Ruu

  1. B

    Bei ya pikipiki used huko zanzibar

    Unatakiwa useme ni pikipiki aina gani maana kuna aina nyingi mi Nina KTM 1100 CC Nataka mil 14
  2. B

    Tatizo la Gari yangu kukata kiuno

    Jombaa dawa yake usifungue radio hiyo
  3. B

    Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

    Kaka kwa engine zinafanana coz kuna verosa yanye engine 1G-FE na GX100 hivyo hivyo ambayo ina CC <2000 na pia kuna za engine kubwa nimesahau inavyoitwa ila CC zake ni > 2000 kwa clearance hapo port verosa itaku cost ipo juu ushuru
  4. B

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Sisi wazenji hatutaki jaribuni kuwaomba majirani zenu muungane hivyo mfano Kenya ,Uganda,Zambia,Malawi n.k
  5. B

    Zanzibar ni nchi ya mapinduzi

    Nakubali
  6. B

    Zanzibar ni nchi ya mapinduzi

    Ni kweli ilipata Uhuru mwaka 63 mapinduzi Yale yamekuja tuu kama misri juzi kati
  7. B

    Zanzibar ni nchi ya mapinduzi

    Kweli angekuepo sultan hadi Leo sawa nashukuru kuwa umetambua kama kulifanyika mapinduzi
  8. B

    Namtafuta Kyoma Kinyenya Kyoma

    Dada majeshi yanapostahafia ndipo yanapoishi ni bora uende makao makuu ya jeshi (MMJ) utapata kumbukumbu zake Kuwa kikosi gani amestahafia
  9. B

    kununua usafiri kwa sh 6ml

    Zenj zipo ila ubaya upo dar port watakuchaji tena
  10. B

    Hivi Tanzania kuna ubalozi wa Ghana?

    Asante kaka me kuelewa
  11. B

    Hivi Tanzania kuna ubalozi wa Ghana?

    Asante sana kwa kunielewesha .
  12. B

    Hivi Tanzania kuna ubalozi wa Ghana?

    Nina safari ya kwenda Ghana nikijua kuna ubalozi nifate taratibu na kama upo ni sehemu gani ?
  13. B

    Jaji ramadhani: Serikali 3 zitaunusuru muungano

    Mbona hutaji Tanganyika kaskazini ?
  14. B

    Wasomi wanavyokosoa mahesabu ya Serikali tatu

    WARIOBA "Mheshimiwa Rais ; sheria ya madiliko ya katiba ilieleza kwamba tume itaongozwa na misingi mikuu ya taifa na maadili ya jamii ya kuhifadhi na kudumisha mambo kadhaa Moja kati ya mambo hayo no uwepo wa jamhuri ya muungano .kwahiyo tume ilianza kazi kwa madhumuni ya kuboresha muungano ...
  15. B

    Fahamu kuhusu Bunge Maalum la Katiba

    Haha yashakua hayo safi. Sana
Back
Top Bottom