Jenga choo cha kisasa kiwe na maji ya kutosha muda wote ila kisiwe na muhudumu eneo la watu wengi km sokoni au stend njoo baada ya wiki mbili utakuta hakifai kwa matumizi....sasa watu ambao hawawezi kutumia choo vizuri watawezaje kutumia maliasili walizojaliwa kuendelea
Mungu akufanyie wepesi.....but wataalam wa mambo naomba kujua tofauti ya DEREVA II na DEREVA I maana sioni tofauti ya qualifications kwenye matangazo ila kwenye title ya tangazo
Oook...wataalamu wa mambo ya fedha ni nini kinasababisha pound kuwa na thamani kuliko dollar maana kama ni demand nahisi euro na dollar ni zaidi ya pound
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.