Recent content by Baba Mtakatifu

  1. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Kariakoo

    Shukrani mkuu
  2. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Kariakoo

    Vifaa kama wire, sockets, bulbs,n .k
  3. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Kariakoo

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba connection ya chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla kariakoo. Nataka kufungua duka huku mkoani. Shukrani
  4. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua hardware?

    Sawa, ntakutafuta
  5. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua hardware?

    Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
  6. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Marafiki ni watu wa ajabu sana

    Si, lui e' molto imbecile
  7. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Banda la biashara Moshi Linahitajika

    Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta Banda la kununua Moshi mjini..Banda la bati linalohamishaika.....Mwenye nalo anicheki hata inbox
  8. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

    Mungu ni mwema! Amini tu ipo siku atakufungulia milango! Nakumbuka 2020 niliacha kazi mahali baada ya kuona kuna boya mmoja ananipelekea umbea kwa boss! Nikapiga chini ile kazi nikiamini haitachkua mda ntapata nyingine, mzee hapo ndo nilikoma, nilikaa mwaka na nusu sina mbele wala nyuma...
  9. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Kwanza nikupe pole na majukumu rais wetu. Baada ya pole nije kwenye point, Kumekuwq na mjadala mkubwa sana kuhusu mkataba wa bandari, kiukweli Watanzania walio wengi hawaelewi kuhusu huo mkataba zaidi ya kusikia tu wanasiasa wakiksema hili na lile. Nikiri hata mimi binafsi sijui kwa kina...
  10. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Ni Hatari na Nusu
  11. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza majeshi kununua viatu kutoka kiwanda cha Kilimanjaro Leather Industry

    Waziri wa wizara ya mambo ya ndani Mheshimiwa Masauni ametembelea kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd ( KLICL) kilichopo mjini moshi na kuagiza majeshi yote yaliyo chini ya wizara kununua viatu kutoka kiwanda hicho kwa kuwa vina ubora wa hali ya...
  12. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali

    Nimesoma hii mada nimecheka sana! Nimehesabu kimoyo moyo idara yetu ina watu 8 ila wa 5 ni wachaga, nikaifikiria idara nyingine wapo 4 ila wa 3 ni wachaga, Ajabu ni kuwa mkurugenzi si mchaga, na interview ina fanywa na bodi nzima hakuna hata punje ya connection, kungekuwa na connection mi...
  13. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 6s 128 gb inauzwa

    200
  14. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix Hot 9 play

    Kula 2
Back
Top Bottom