Recent content by Baba Mesha

  1. B

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

    Karibia wote mnasema kama vile mmezoea.! TATIZO mmegeuza tendo hili kuwa starehe hata kukawa hakuna heshima.! yaani muda wowote mnafanya tena nashangaa kuna mtu anadai yeye hunyonya kisimi.! HATA AIBU YA MATAMSHI HANA amekuwa zaidi ya mbwa Looh..! jamani tuwe na kiasi.!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    mnh.! kumbe ukawa ni muungano.?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lowasa analipiza Kisasi tu na si vinginevyo!

    tena waambie wajiandae na panado., diclopa na dakika 3
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kusimama kwa hedhi ghafla kunasababishwa na nini?

    ahsante kwa ushauri, ni kweli alikuwa mbali nami kwa kipindi cha mwezi, sasa hedhi yake ilianza 22 april, 22 mei, 22 juni, kutoka hapo mpaka leo hajapata, nikajipa moyo labda kwa kuwa sikuwa naye kutoka julai hivyo akawa busy kunyonyesha hivyo homoni zikawa juu..! lakini ninapenda kujua...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kusimama kwa hedhi ghafla kunasababishwa na nini?

    Ndiyo Nini Hiyo ccm..? poa ila...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kusimama kwa hedhi ghafla kunasababishwa na nini?

    Ahsante, Nitakutafuta Mpendwa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kusimama kwa hedhi ghafla kunasababishwa na nini?

    Habarini Wana Jukwaa, Mimi nina mke wangu alijifungua kwa upasuaji 0ktoba mwaka jana, sasa kuanzia mwezi Mei mwaka huu alipata siku zake ila imetokea ghafla hajaziona! Hapo kuna nini? Nisaidieni jamani..
  8. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Hili Ndilo Goli La Mkono..! Lakini nashangaa, profesa alidai, huyu amekuwa msafi, systemu ya ccm ndo mbaya..! mnh.., nilipokuwa Dodoma nilimuuliza mzee Mangula, Vipi CCM hii inakwenda wapi..? alisema, "hiki ni chama cha wakongwe, na ushindi hauwapi taabu wakongwe..!" sasa naanza kuamini.! hapa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais awamu ya Tano atatoka CCM

    wewe ndiyo kuku kabisaaa..! wa kuleta mabadiliko ni wewe siyo mwingine, tena UKAWA maana yake ni nini.? au CCM ni nini.? jitambue, okoa akili yako.! kama unasubiri kuletewa utabaki hapo hapo.! njoo huku kwa WATANZANIA WASIO NA CHAMA (WWC} yaani ni kuwapelekesha hao mamburulaaa.!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    Safi sana, yaani ukitaka kupata PhD ya maisha hapa utaipata
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

    ila wanasiasa kama mayai tu.! na CCYENU Mmezidi.!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

    Salary Slip Mh.! alishindwa kumshauri mjomba anasubiri yeye apate nafasi.? ndoroobo.! kama utaongeza mshahara wa mwalimu kutoka 370,000/= kima cha chini hadi 540,000/= hapo poa mwanawane.! walimu 0yeee.!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Korea Kaskazini auawa kwa kosa la kusinzia

    kama na Tanzania watakapitisha ka_sheria haka itakuwa very smart
  14. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Korea Kaskazini auawa kwa kosa la kusinzia

    Safi kabisa, may be hata bunge la Tanzania wapitishe sheria hiyo
Back
Top Bottom