Rais awamu ya Tano atatoka CCM

Rais awamu ya Tano atatoka CCM

ni ukweli mchungu na usiopingika kwa namna yoyote kwamba mrithi wa jakaya kikwete ni mwanaccm kindaki ndaki.
Hii inatokana na hali halisi kwamba ccm ina hazina kubwa ya viongozi waliopikwa na kuandaliwa kwa muda mrefu tangu utotoni mwao na sasa wako tayari kubeba jukumu zoto la kuwatumikia watanzania.

Ccm ni tofauti na vyama vya upinzani ambavyo vimejengeka vizuri sana juu lakini ukishuka katika ngazi ya mkoa wilaya na vijijini hakuna watu. Vyama vya upinzani ni vya wenyeviti tu. Mbaya zaidi haviishi migororo ya kugombea madaraka na vyeo.

Ccm ni lulu. Hutaki unaacha
umenena kweli atatoka atajitoa ccm na kuiangusha hiyo ccm
 
ni kweli kabisa. Ukawa ni walafi wa madaraka na wachumia tumbo
we mtoto acha ungese. Baba zako na kaka zako kibao wameshatangaza nia kwa ulafi tu ya kuelekea magogoni,
sasa unaposema ukawa hebu taja japo mmoja aliye tangaza nia kupitia ukawa. Hapa nataka nijue naongea na zombi au vipi. Utakavyo jibu tu ntakujua we ni..........mbi au...
 
Siku zilizopita mtu kama huyu aliitwa MBWATUKAJI , yaani umekurupuka bila hata ushahidi wowote kuja kuongopa humu ? Nimekudharau sana .
 
Hakuna Mtanzania ye yote atakayeshindwa kuwa rais baada ya huyu anayemaliza ngwe yake kuurahisisha urais na hivyo kila mtu kujiona anafaa. Imagine mtu hajawahi kuwa waziri lakini unaibu waziri tu unamfanya atamani urais. Mwingine ni mbunge tu na wala hajawahi hata kuwa waziri mdogo, naye ametangaza nia. Kama.anayemaliza ngwe yake ameweza, basi hakuna Mtanzania atakayeshindwa. Hivi wewe mbona unadharau za kipuuzi? Huoni mwenye hadhi ya urais Ukawa? Bila shaka kigezo chako ni sura. Sisi tunataka mwenye uwezo wa kutuletea mabadiliko kwani hatuna nia ya kupiga picha na rais.

wewe ndiyo kuku kabisaaa..! wa kuleta mabadiliko ni wewe siyo mwingine, tena UKAWA maana yake ni nini.? au CCM ni nini.? jitambue, okoa akili yako.! kama unasubiri kuletewa utabaki hapo hapo.! njoo huku kwa WATANZANIA WASIO NA CHAMA (WWC} yaani ni kuwapelekesha hao mamburulaaa.!
 
nakubaliana na wewe lkn! wataendelea kuongoza pale tu watakapo mpitisha mtu sahihi mwaka huu kama sio hivyo basi eti sijui membe,lowasa ,au ramadhani na kwa fezea kubwa pinda siko tayari kuwapa kura bora ukawa wajifunzie kuongozea ikulu kitu ambacho na wao wanavyonekana watachukua muda kuwa imara maana bado kidogo hawajawa imara..
 
tatizo la ukawa ni kibabu ,kungangania wangemsimamisha mtu kama MBATIA mambo yaangekuwa safi
 
i think yule mzee wa mbeya na yule wa
zenji wanafaa sana.
 
Uzi zingine bana hivi ninani mwenye umri wa zaidi ya miaka 40 ambaye haijui ccm ilikuwa uwezi kwenda Chuo bila kuwa uvccm.
 
CCM itaendelea kutoa rais siyo mwaka huu tu , bali hata uchaguzi wa 2020. Wapinzani hawa propaganda zao zisizo na tija kwa wananchi hawana lolote.
Hakuna mtu aliyezaliwa mpinzani na kwa hiyo ccm wakiendelea kutoa rais hawawaumizi hao unaowaita wapinzani bali kiburi cha wao kuendelea kuwa madarakani ipo siku kitainua hasira na visasi visivyomithilika.Kumbuka hadi sasa kuna watu hawaoni tofauti kati ya kuishi na kifo!Tunaomba Mungu hali isifikie huko ambako ninyi wapenzi wa ccm mnakokuombea mkidhani mnakomoa watu fulani waliozaliwa wapinzani
 
Back
Top Bottom