Nina jirani yangu msambaa ,yeye aliacha shule Kwa sababu ya kiingeleza,alikuwa na zamu ku represent mstalini ,akatoka mbio mpaka Kijiji cha pili Kwa bibi yake ,hakurudi Tena!
Kuna siku nilisafiri na bosi wangu kwenda Dodoma, tukafika usiku wa Saa Tisa, tukachukua vyumba hotel, bosi kama Kawa kaagiza blanket chapa mtu(wakubwa mmeelewa) kulipokucha tukaelekea kwenye pilika zilizotupeleka huko, baada ya pilika tukaenda kwenye sehemu moja ya nyama choma ili kupata msosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.