Recent content by baba lulu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Dar es Salaam na tatizo sugu la kupasuka kwa mabomba ya maji

    Ni miaka sita sasa tangu nianze kuishi Dar es Salaam, wilaya na kata ya Ubungo mtaa wa msewe. Tangu nianze kuishi mtaa huu kila siku mabomba ya maji yanaharibiwa na kusababisha upotevu mkubwa wa maji. Na ha DAWASA wanapokuja kurekebisha kasoro hizo, mabomba hupasuka tena kabla hawajafika makwao...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Film Industry

    Jimmy mponda ni yule msanii wa action movies
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Film Industry

    Ndugu zangu Mimi ni chotora, mwanafunzi msanii chuo kikuu cha Dar es salaam. Ninajishughulisha na filamu. Kwa yeyote mwenye kuweza kilunisaidia naomba kupata mawasiliano ama kukutana na Jimmy mponda (j plus). Kuna filamu nzuri sana inamhusu mawasiliano yangu ni 0717273373 au chotora27@gmail.com...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu juu ya madini

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifikiria lakn majibu sipati. Ivi dhahabu inatumiakaje? Au kwa nini dhahabu ina thamani kubwa kiasi hicho? Naomba wenzangu mnisaidie, pia kama una swali lolote juu ya aina yoyote ya madini
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya uchaguzi hadi Oktoba 1, 2015: Majimbo ya uhakika yanayoenda UKAWA

    Mpuuzeni huyo,geita ukawa hawana chao hata jimbo moja.Hapa kazi TU.viva magufuli
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli yanga ni tawi la ccm-nimejitoa rasmi kusapoti leo

    Umbea tu huo, umekosa cha kuzungumza ukaamua yanga uiite ccm
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hii yaweza kuwa sababu ya Lowassa kushindwa Karatu!

    Nani kakudanganya kuwa lowasa aliwika chato?, usidanganye umma, lowasa alizomewa chato na chato na geita kwa ujumla hakuna upinzani tena, wamebaki kupiga mayowe tu. CHEZEA MAGUFULI WEWE!!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa Utawafilisi CCM

    umekosa cha kuzungumza wewe tulia dawa iingiee
Back
Top Bottom