mara nyingi wafanya biashara/sonara uchanganya gold na copper ili kuiongezea uzito wa bidhaa zitokanazo na gold(cheni, pete etc) ili bidhaa ionekane kuwa na uzito mkubwa na kukuuzia au wakati mwengine ili iwe raisi kutengenezea iyo bidhaa, kumbuka gold ni too brittle kwa minajiri iyo wanachanganya na other metal kupunguza iyo ali ya brittle ili isikatike/kuvunjika.Na je??, kuna dhahabu feki na na ya kuchovya, ya kuchovya inakuwa ni madini gani mbona rangi ni kama pure??
Kwenye "hardest known substance" naona unachanganya dhahabu na almasi.1.Kwanza upatikanaji wake ni mgumu mno
2.Kuishape ni kazi mno maana ni hardest known substance.
3.Muonekano wake na mng'ao maridadi iliyonayo..
4.Soko la thahabu linakuwa controlled sana dunian
hapo katika kutengenezeka sio gold tu ,ni element zote excepts radio active elementKwenye "hardest known substance" naona unachanganya dhahabu na almasi.
Dhahabu ni ngumu sana ku react na vitu vingine, na haitengenezeki kutoka vitu vingine. Watu walijaribu sana kuitengeneza (mpaka Isaac Newton) wakashindwa.
Siajsema gold ndiyo pekee ambayo haiwezi kutengenezwa kutoka kitu kingine.hapo katika kutengenezeka sio gold tu ,ni element zote excepts radio active element
form two chemistry
element neither created nor destroyed ...lakini badae mwanasayansi kutoka Ufaransa mwenye asili ya poland anayeitwa Marie Carie aligundua kuwa element inaweza kuwa destroyed na new element ikatengenezwa/umbwa baada ya kutumia Uranium na kuidestroy akapata element mpya kabisa na kuiita jina la nchi yake ya asili ..poranium.
karibu
mkuu tusiweke ligi katika kitu ambacho kipo wazi, kunatofauti kubwa sana kati ya element na compounds.Siajsema gold ndiyo pekee ambayo haiwezi kutengenezwa kutoka kitu kingine.
Lakini si kweli kwamba elements zote, ukiondoa radioactive, haziwezi kutengenezwa kutoka vitu vingine.
Since you mentioned form two chemistry.
What do you understand by 2 NACl + 2 H2O = 2 NAOH + Cl2 + H2 ?
In my original post sikuongelea element, nimeongelea substance.mkuu tusiweke ligi katika kitu ambacho kipo wazi, kunatofauti kubwa sana kati ya element na compounds.
nasisitiza uwezi tengeneza element isipokuwa katika hayo mazingira niliyokuambia hapo awali, hicho ulichokiandika ni chemical reaction.
karibu
mkuu unapozungumzia Gold (Au) ujue kuwa iyo ni element, dont copy and paste from google kama kitu ukijui kinaga ubaga, nilichokigundua unazungumzia kitu ambacho ukijui na umekisoma tu kama story...sorry lakini mkuuIn my original post sikuongelea element, nimeongelea substance.
Historia ya alchemy imeonyesha ni jinsi gani watu walitaka kutengeneza dhahabu kutoka vitu vingine, wakashindwa.
Tabia hii ya dhahabu ya kutoweza kutengenezwa kutoka vitu vingine kwa sababu hai react na vitu vingine (which is neither universal nor commonplace on the periodic table), ni moja ya sababu iliyoipa gold thamani.
Otherwise kila mtu angetengeneza dhahabu kwake halafu ingekosa thamani.
al·che·my
[ˈalkəmē]
NOUN
- the medieval forerunner of chemistry, based on the supposed transformation of matter. It was concerned particularly with attempts to convert base metals into gold or to find a universal elixir.
synonyms: chemistry · magic · sorcery · witchcraftalchemy - Bing
- a seemingly magical process of transformation, creation, or combination:
"finding the person who's right for you requires a very subtle alchemy"
Gold pia ni metal. Usikariri kwamba ni element tu.mkuu unapozungumzia Gold (Au) ujue kuwa iyo ni element, dont copy and paste from google kama kitu ukijui kinaga ubaga, nilichokigundua unazungumzia kitu ambacho ukijui na umekisoma tu kama story...sorry lakini mkuu
mkuu unapenda ligi, sasa inawezaje kuwa metal bila kuwa element? yani ulichokisema hapo ni sawa useme "mwajuma ni mwanamke usikariri kuwa ni binadamu tu"Gold pia ni metal. Usikariri kwamba ni element tu.
Mkuu usipotoshe umma, dhahabu siyo hardest, unaweza kui scratch hata kwa kutumia kucha...Diamond ndio hardest mineral so far...1.Kwanza upatikanaji wake ni mgumu mno
2.Kuishape ni kazi mno maana ni hardest known substance.
3.Muonekano wake na mng'ao maridadi iliyonayo..
4.Soko la thahabu linakuwa controlled sana dunian
mk
mkuu unapenda ligi, sasa inawezaje kuwa metal bila kuwa element? yani ulichokisema hapo ni sawa useme "mwajuma ni mwanamke usikariri kuwa ni binadamu tu"
sijui umenielewa? kwa kifupi unazungumzia chemistry ya form one...naomba nikuache kama ulivyo mkuu
Ni hardest substance known???1.Kwanza upatikanaji wake ni mgumu mno
2.Kuishape ni kazi mno maana ni hardest known substance.
3.Muonekano wake na mng'ao maridadi iliyonayo..
4.Soko la thahabu linakuwa controlled sana dunian