Recent content by BABA KO

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu hii imkaaje,mechi bdo yaendelea Florentine anaongoza
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    021D7C5-Betpawa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Barikiwa San mzee kwa kushare nasi ujuzi n uzoefu huo🙏,baada ya kusota kwa takribn siku 5 nikijrbu kutuma maombi bila y mafanikio hatmae NIMEFANIKIWA.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Nimefanya na hii Mozilla Firefox but Bado imegoma
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Kwa wale ambao wamfanikiwa je ,n kwasababu wameattach chet Cha jkt au wapo waliofanikiwa bila kuweka cheti hicho? Majibu tafadhari huku maji yanazidi unga
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya METL unawanyonya watanzania wenzako

    Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Metl hivi Ni kwamba hufahamu Hali za watumishi wako hasa watanzania au n kwamba umeamua kufumbia macho unyonyaji unaofanywa kwao kwao,?? Inasikitisha Sana kwa kampuni yenye jina kubwa Kama hii na inauoheshimika Sana hapa Africa kutojali maslahi ya wafanyakazi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Giza nene juu ya hatma ya wahitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji 2017

    Giza nene lazidi kutanda kwa wahitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji mwaka 2017,Utata huo unatokana na uongozi wa chuo kushindwa kutoa majibu ya uhakika na kupigwa danadana ndefu juu ya utoaji wa vyeti kwa wahitimu hao waliohitimu mwezi wa nane mwaka wa masomo 2016/2017 katika Fani ngazi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya Ukondakta wa Mabasi ya mikoani,Elimu Degree LeveL

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi n kijan wa miaka 24 mwenye elimu ya kiwango cha degree ya manunuzi na ugavi, nikiwa na ujuzi mkubwa wa masuala ya mawasiliano na huduma kwa wateja.ninatafuta kazi ya ukondakta katika mabasi makubwa ya mikoani.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uagizaji wa incubator machine

    Habari zenu wakuu! Naomba kufahamishwa taratibu na gharama za uagizaji wa mashine ya kutotolea vifaranga toka nje ya nchi zinakuwaje ? kodi kam zipo ni kiasi gan? ghrama za bandari pia .
  10. B

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa

    10 mil haidaiwi kodi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa

  12. B

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa

  13. B

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa

  14. B

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa

  15. B

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa

Back
Top Bottom