Recent content by Baba Jose

  1. B

    Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    moderator Naomba uondoe kula yangu kwa sita Tafadhari,kusudio langu ilikua ku click kwa walioba lakini nime click kwa sita,moderatoter ukisoma uzi hu tafadhari naommba ute kura yangu
  2. B

    Rais Kikwete awapandisha vyeo wanajeshi 7 kuwa Meja Jenerali

    acha kabisa na kamanda,Mwakibolwa,waulizie intake ya 19 mwaka 2006 kule Makotopola ndie alikua Co wao,najisikia raha saana kusiki habari hizi
  3. B

    Waraka wangu kwa viongozi, wanachama na wapenzi watukufu wa CHADEMA

    Asante Mwita Maranya umenikuna nilipo soma post yako sikua na haja ya kuendelea na nyingine,naweza kusema tu kwamba Zitto Kabwe ni muhimu lakini hawezi kuwa mhimu zaidi ya chama,Chama hakiwezi kukumbatia usaliti na kijihesabu kiko salama. ZITO MUST GO,LET HIM GO,viongozi wakuu wana weza kuwa...
  4. B

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    UMEONGEA VIZURI ILA BADO zITO kATIBA INA MBANA KUGOMBEA LABDA AJIPANGE KWA 2020
  5. B

    Wananchi wa Ileje tunapinga kuwa sehemu ya mkoa wa Songwe na makao makuu kuwa mkwajuni Chunya

    Ndg wadau tunashukuru kuendelea kutu unga mkono na kutpa mifano mbali mbali ya jisi wenzetu wengine walivyo pinga na sisi tutasimama kidete mpaka tuone mwisho wake,ni kweli kwamba CHUNYA ina eneo kubwa lakini eneo lake kwa asilimia kubwa ni poli na hakuna idadi kubwa ya watu ikilinganishwa na...
  6. B

    Kuelekea Uchaguzi wa BAVICHA: Nani kuwa Mwenyekiti wa Taifa?

    sasa Heche Mchaga Mbw.ga wewe
  7. B

    kodi ya kadi ya simu ni pigo kwa ccm 2015

    Naunga mkono kidogo kwa sababu hizo ndo pesa wana zikusanya za kutunyongea na ikifika june 30 watafuta tayari watakua wamepata pesa kibao za kununulia vitenge vya kijani wana nchi
  8. B

    Wananchi wa Ileje tunapinga kuwa sehemu ya mkoa wa Songwe na makao makuu kuwa mkwajuni Chunya

    ule mda wa Kulala haupo bwana Lwesye,hii tutafika mpaka Mahakani wengine tuko tayari na tume jipanga ngoja Busara Itumike kwanza,hili limekaa vibaya hatukubari
  9. B

    Wananchi wa Ileje tunapinga kuwa sehemu ya mkoa wa Songwe na makao makuu kuwa mkwajuni Chunya

    Nitashukuru haya yakimfikia Mh. saana Kandoro na RCC yake pamoja na Mlugo
  10. B

    Kosa litakaloigharimu CCM katika uchaguzi mdogo Arusha

    hi ni ya kweli mwigulu amekua banned au?
  11. B

    Matokeo Arusha sio mazuri kwa mabadiliko

    Niongezee tu kusema katika siasa ya ushindani ya vyama vingi usitegemee watu wote wakakupenda ama kukupigia kula,hata kama Chadema ingekua peke yake wapo ambao wangesema No or yes,hivyo kwa mazingira yalio kuwepo kwa kweli huu ushindi bado ni kwa kishindo
  12. B

    Wananchi wa Ileje tunapinga kuwa sehemu ya mkoa wa Songwe na makao makuu kuwa mkwajuni Chunya

    KWANINI WANA NCHI WA ILEJE WANAPINGA KUIFANYA WILAYA YA ILEJE KUWA SEHEMU YA MKOA MPYA WA SONGWE NA MAKAO MAKUU YAKE KUWA MKWAJUNI CHUNYA. Kabla Rais haja anzisha rasmi Mkoa huo na Wilaya zake kwa kadri atakavyoona inafaa wana nchi wa Ileje wanapinga kuifanya Wilaya ya Ileje kuwa sehemu ya...
  13. B

    Fedheha kubwa viongozi wa Mbeya

Back
Top Bottom