Tanzania sasa inakumbwa na kashfa nyingine kubwa inayogusa uadilifu wa viongozi, baada ya mashaka makubwa kutanda kuhusu elimu ya mmoja wa wanasiasa vijana waliojitokeza kwa sauti kubwa kisiasa katika miaka ya karibuni. Taarifa mpya zimeibua tuhuma nzito kuhusu cheti cha diploma anachodai...
Kutoka Bungeni DODOMA, April 10, 2017 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe alisimama kuomba kutoa taarifa kwa Naibu Spika wa Bunge akitaka Bunge lisimamishe shughuli za kawaida na kuanza kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea nchini.
Bashe amesema yeye pia ameshatumiwa ujumbe wa...
Watu kama ninyi ndio wapumbavu, Kenya wanajitambua, wanapenda nchi yao sio viongozi.
Wew unaonekana CCM wakisema uolewe na mwanaume mwenzia, utapiga makofi kupongeza !
Hawa ndio hawajielewi, wanadhani wananchi huku chini hatupati mateso ya serikali hii, tunapata sana.
Lakini ujue kuna vitu vitatu vinavyofanya watu wanakuwa ni wana-CCM lakini hawapendi kuwa wana-CCM, vitu hivyo ni 1. Njaa 2. Upumbavu/Ujinga na 3. Nidhamu ya Woga/Uoga.
Sikua na lengo la kuandika chochote JF leo, ila ngoja hapa niseme kidogo.
Ipo tofauti kati ya Nchi na Serikali, Wakenya hawaishambulii nchi yetu ila wanawashambulia viongozi wa nchi yetu.
Uzalendo sio kuwapenda viongozi, uzalendo ni kuipenda nchi, kuwapenda viongozi ni Uchawa, unaopelekea...
Hapana, kwa mujibu wa katiba mtu atahesabiwa amekaa awamu mbili madarakani kuanzia miaka nane hadi kumi !
Hivyo Samia atakaa miaka 9 kama 2025 atashinda, basi itahesabiwa amekaa madarakani Mihula miwili.
Viongozi wa Afrika hamkutakiwa kwenda Marekani kujipendekeza, nchi kama za Afrika zina kila aina ya utajiri, ila wanashindwa kufikiria ni watumiaje huo utajiri !
Wale WA vyama vya upinzani Tanzania, wanategemea kugombea uongozi WA vijiji na vitongoji, Tegemeeni kuenguliwa sana, ukipona kwenye kuenguliwa ukagombea basi hata kama mkishinda uchaguzi; hamtatangazwa kamwe, wagombea WA CCM tu ndio watakaotangazwa wameshinda.
Ova!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.