Jamani yeyote mwenye link ya kuvipata vitabu mbalimbali ya Physics kwa class 12/ form six na vinginevyo atusaidie mana kuna link niliona humu mwezi uliopita ka sijakosea Ila saivi sioni.
TAFADHALI JAMANI NI MUHIMU SANA LINK HIZO NAOMBENI HATA MWENYE FILES TU YA HIZO VITABU AWEKE HUMU.
Habarini wana jf natumai mu bazimaa
Humu ndani tumekuwa na maneno mengi tunayotumia, baadhi yao yamekuwaa common sana humu kama vile;
1.mkuu
2.kimasihara😁😁n.k
ONGEZEA NA WEWE MISAMIATI INAYOTUMIKA SANA HUMU TUIJUE.
Shughuli inakuja jamii inakuchukuliajee...
1.kiburi
2.jeuri
3.tabia tuu
Au vipi tenaa......elimu+maarifa ni nzuri
😹😹hatari sana alafu hustuki wala nini kawaida kwako ndo maana watu wa hivi wakipitia hali Fulani ikawaumiza huwa ni wabaya tena shetani anakaa pembeni......NI WANYAMAA SIO MCHEZO
Duuuuh asikwambie mtu mimi kuna wakati hadi nilionekana sio mzimaa kabisaa kumbe bana mambo mengine ni kuwapa elimu watu waelewe watu wako tofauti.
NB. Mara nyingine kujumuika na watu kwa jamii kuna faida sana.INTROVERT WELCOME HOME
Kwa miaka ya hivi karibuni jamii imekuwa ikishuhudia vitendo vingi ambavyo kwa namna moja ama nyingine si vya kingwana kabisa hasa kwa watoto wadogo waliopo chini ya umri wa miaka 15.
Sababu zimekuwa nyingi mno zinazopelekea kwa vitendo hivi kuwepo na kuongezeka kwa kasi sana baadhi ya sababu...
Naaanza Mimi
Ni asubuhi nimeaamka Mara pa
Naona ka sijielewi duuh
Kumbe ni J3 mitungi ya Jana
Imenichanganya ndo mana hata sielewi
Ni noma kwenda mbele siunajua tena wasela ndo ivo 😀😀😀😀😀😀
Tupieni na yenu wakuu tuchekane humu najua wengine sio watunzi wazuri kama nilivyo mm tu ila shuka tu
Habarini wana jf ni tumaini langu kuwa nyote mu wazima wa afya kabisa.
Leo ningependa tutoe salaam za kumbukizi kwa ndugu,marafiki,wazazi,walezi na wengineo tuliowahi kukutana nao maishani.
Nikianza na mimi salaam zangu ziwafikie marafiki zangu wote tuliowahi kuwa pamoja na pia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.