Recent content by Baba ilham

  1. Baba ilham

    Zipi ni taratibu na gharama za kurenew leseni ya udereva iliyopotea

    Vipi na kurenew leseni ya udereva ambayo imefikia ukomo wa matumizi?
  2. Baba ilham

    PreGE2025 Kumbe Walioenda kwa Mbowe walikuwa wamealikwa?

    Ukialikwa alikika 😂😂
  3. Baba ilham

    Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Ushauri uliobora ni kwenda Hospital kwaajili ya uangalizi na vipimo zaidi.
  4. Baba ilham

    Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

    Mwanaume akiangalia tamthilia inakiwaje labda,nguvu za kiume zinapungua au zinamuondolea uanaume wake?
  5. Baba ilham

    Eng. Hersi atoa tiketi za bure kwa watu wasioona

    Sasa mtu haoni afu unamwambia akaangalie mpira 🤣🤣
  6. Baba ilham

    Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

    Michezo huunganisha watu siku zote, sioni ajabu wachezaji wa al ahly kuwapa sapoti wapalestina umesahau msimu wa mwaka wakati urusi inaivamia ukraine klabu zote ulaya hadi na mashabiki walikuwa na mabango uwanjani kupiga kelele dhidi uvamizi ule iweje leo wewe uje na andiko lako eti udini, wewe...
  7. Baba ilham

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Huyu atakuwa OLE huyu co kwa mapovu haya
  8. Baba ilham

    Nahitaji kuanza biashara ya kufuata vijora Mombasa ushauri tafadhali

    Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima wa afya, Ndugu zangu ninaomba kujuzwa kwa wale wazoefu wa biashara ya kwenda Mombasa kufuata vijora ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata na mtaji ama kianzio cha biashara na tax pia wanatozaje, naombeni michango yenu na nataguliza shukrani za dhati kwenu...
Back
Top Bottom