Recent content by Baba Ilhaam

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: M-PESA, Tigopesa, Airtel Money inalipaje?

    iko poa sana cha msing ni location na kuwa imara kwan biashara ina challenge nying unapoianzisha! wishng u ol da best mkuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Selection ya kidato cha tano 2015/2016, wengi kutochaguliwa

    Karibuni chuo cha maji ubungo. Mm niko hapa nasoma mwaka wa pili hapa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Top 10 Habits that make you rich

    Success is loading......!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Hali ni tete kwa usafiri leo dsm!! Imenibidi nichukue bajaj toka simu 2OOO/sinza mpka maeneo ya posta!! Hali ni mbaya
  5. B

    JamiiForums Tanzania Water filter yahitajika

    Natanguliza shukraan!! Wakuu naomba kujuzwa ni wap nitapata water filter zile ndogo ambazo zinaweza kuchuja kati ya lita 20-30 kwa siku!! Yahitajika kwa ajili ya matumizi ya nyumbani!! Kama itakuwa TULIP WATER FILTER itakuwa bora!! Niko dsm samahan kwa usumbufu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maji safi na salama

    Habari wakuu! Poleni kwa majukumu mbalimbali! Niko ubungo Dar es Salaam! Nilikuwa naomba kujuzwa wapi naweza pata maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani(si yale ya akina bakhresa) na itakuwa bora kama itakuwa anafanya kusambaza!! Natanguliza shukraan
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bei ya Cherehani na Popcorn Machines

    kwa moshi je mkuu?!?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Anaweza kusoma kozi gani chuo kwa matokeo haya ya form 4?

    Mpeleke chuo cha maji ubungo(water development and management institute) aje kusoma irrigation engineering miaka mitatu diploma Tembelea www.wdmi.ac.tz
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba shauri kuhusu Vyuo vya Ufundi

    Subir post zitoke then zikishatoka aende wizaran fasta!! Askate tamaa kwan kubadilisha kutoka advance kwenda chuo huwa ngumu kidgo!! Namkaribisha sana chuo cha maji ubungo(wdmi)
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    tembelea www.irdp.ac.tz
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    mpeleke college ya afya ama engineering!! Huko uhakika mkuu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    akasome muda huu hiyo maabara!! Miaka mitatu awa na dilploma kabsa!! Tembelea www.wdmi.ac.tz
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Me naona bora uende chuo!! Miaka mitatu wapata diploma yako then wachukua jiwe!! Kwann nimesema chuo? Utaweza kusoma na kufaulu vizur bila kuathiri mambo yako mengine tofaut na advance muda mwingi wakupasa uwe wapga kitab
  14. B

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wengi hufa maskini baada ya kuacha kazi

    Binafsi namuunga mkono mtoa mada!! Wengi huishia maisha ambayo ni tofaut na vyeo vyao!!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Jifunze ufugaji wa kuku bure

    Sawa mkuu ntakucheki!!
Back
Top Bottom