Recent content by BABA GK

  1. BABA GK

    Investigation Officer PCCB

    Kijan hii ni forum kubwa tu na inaheshimika hata kama baba ako katajwa kuwa mpole tu..huo mtindo wa kuita watu Mama, shangazi warembo hautakufikisha mbali ....u have to grow.....
  2. BABA GK

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    Mpeleke nyumbani kwao hana heshima wala adabu and i feel sorry for you!:shocked:
  3. BABA GK

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    WHAT MAKES A GOOD CV?Preparation is everything when applying for a new role. BABA GK company has developed some guidelines to help you write a CV. The Importance of a Great CV • To introduce and differentiate yourself and your skills • Your CV is your own personal marketing tool and is your...
  4. BABA GK

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    C.V nzuri ni kama vile tittle kwenye project proposal, ili granters waweze kukupa fund inabidi title iwe clearly and precisely..
  5. BABA GK

    Experiences bado ni tatizo kubwa katika ajira kwa new graduates..Wadau tufanyaje???

    Nakubaliana na wewe mkuu ningeshauri wa visit www.brela-tz.org. for fees and all procedures for company registration...then kikwete fund will follow...:smile-big:
  6. BABA GK

    Experiences bado ni tatizo kubwa katika ajira kwa new graduates..Wadau tufanyaje???

    Aisee pole sana mdau, lakini usikate tamaa nazan Mungu anakuandalia mpango mnene, unaonaje ukafikiria nje ya box ..hapa namaanisha ukafanya kazi yoyote ambayo ujasomea.. may be kulima au kufanya kazi yoyote ilimradi uingize kipato but all in all experiences hata mi inani bore:bored: kwa new...
  7. BABA GK

    Experiences bado ni tatizo kubwa katika ajira kwa new graduates..Wadau tufanyaje???

    Mdau nimekusoma, kuna point nzuri sana hapa labda tubadilishe mitahala iwe in bas sana kwenye practical oriented na sio theory oriented na interview ziwe za swahili may be itasaidia pia..:smile-big:
  8. BABA GK

    Experiences bado ni tatizo kubwa katika ajira kwa new graduates..Wadau tufanyaje???

    What is solution?? Wadogo zetu /ndugu zetu wengi tu wanakosa kazi eti kwasababu ya experiences sasa mtu ulikuwa unasoma experience utaipata wapi??Nazungumzia experiences ya miaka 5 na above?? Tufanyeje wadau, changia hoja..
  9. BABA GK

    aliyekuwa mchezaji wa Ghana agundua watoto 3 aliozaa na mke wake si wake baada ya miaka 20 ya ndoa

    Wa bongo huwa tunapima DNA kwa kutumia sura ya mtoto....ukiona afanani na baba ujue sio wako ni wa jirani yako...
  10. BABA GK

    Je kuna ukweli kuhusu haya mabishano ya ajira???

    Kweli vizazi vijavyo vitatulaumu na kuna geneious mmoja wa zamani alisema Tatizo sio viongozi wetu wanaofanya madudu bali ni wananchi wanaoongozwa wanaokaa kimya na kuangalia hayo madudu bila kuchukua uamuzi wowote, kwahiyo hakika vizazi vijavyo vitatulaumu tusipochukua hatua.
  11. BABA GK

    Je kuna ukweli kuhusu haya mabishano ya ajira???

    Ebu tu assume kama GVT hakuna , sisi kama sisi wananchi wa kawaida lakin wenye uwezo sawa na wakenya wanaoajiliwa tufanye nini kwanza??? Tukishatoa maamuzi au tamko hapo baadaye ndo tuje tuishauri GVT....Unaonaje hapo mdau:A S-confused1:
  12. BABA GK

    Je kuna ukweli kuhusu haya mabishano ya ajira???

    Mdau tufanyeje ili tulete mageuzi..hapa kichwa kinaniuma sijui pa kuanzia
  13. BABA GK

    Fursa bila mtaji bado ni tatizo

    Safii ujachelewa mdau..jitahidi muunde kikundi then kisajilini serikalini..after that u can even write winning proposal and ask for donor fund.. I am asured you there is a lot of NGO;S Bank with a lot of money waiting for you guys..Wake up Think out the Box
  14. BABA GK

    Je kuna ukweli kuhusu haya mabishano ya ajira???

    Aisee tuanzie wapi??:A S-confused1:
  15. BABA GK

    Fursa bila mtaji bado ni tatizo

    Hauko makini, unatakiwa ufate utaratibu wa kilimo bora na kabla ya kulima unatakiwa uwe na basic needs kama mbegu bora, madawa ya kuulia wadudu, na hakikisha upatikanaji wa maji kwa ajili ya kumwagilia( nafahamu labour na land kwa TZ sio tatizo sana), sio unakurupuka tu na pia ningekushauri...
Back
Top Bottom