BABA GK
Member
- Jun 6, 2013
- 23
- 7
Leo asubuhi, nikiwa katika hoteli moja maarufu hapa A town nafungua kinywa kulikuwa na mabishano makubwa kuhusu kwanini hizi NGOS kubwa hapa nchini kama World Vision,Oxfarm,SNV,Heifer International,CIAT, Land OLAKES, CRS,Technoserve na nyinginezo zinaajiri watu wengi kutoka Kenya na sisi wazawa ni wachache wakati kwao huko Kenya hata wakiwaajiri wa TZ wanaishia kunyanyaswa ama kufanyiwa unyama au kuuwawa kabisa kama J
.Je wadau mnasemaje kwa hili kuna ukweli wowote???