Kuna namna tunalichukulia jambo la ugonjwa wa Afya ya akili kama sehemu isiyotuhusu.
Kiuhalisia mahusiano ya kimapenzi Kwa sasa yamekuwa chanzo kikubwa Cha tatizo hili la Afya ya Akili.
Hawa wote wawili waliisoma na kuielewa habara ya Dada Jeni wa bunju lkn na wao wamepitia humohumo.
Unaweza...
Hapo ukifuatilia sana unakuta hata ndugu wa mwanamke walikuwa wanamuunga mkono huyo dada katika huo mchakato wa talaka na umiliki wa Mali.
Lkn aliyedungwa risasi ni yeye na hao wapambe kawaacha wanaliona jua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.