Recent content by baba aura

  1. baba aura

    INJINI YA BOXER KUTOA MLIO WA KUGONGA

    Ndio kinachofanya injini itoe mlio kama kitu kigonga kwenye block?
  2. baba aura

    INJINI YA BOXER KUTOA MLIO WA KUGONGA

    Habar wakuu,Nina pikpik aina ya boxer bm 150 sasa hii pikpiki huwa inatoa mlio wa kwenye injinimlio huwa huwa kama Luna kitu kinagonga gonga ndani ya injini Kwa mafundi nimepeleka na wamebadili kila kitu Ila baada ya Sikh tu kamlio kanaanza tena Je shida nini wakuu?
  3. baba aura

    FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

    Hata nishindwe life kivipi ila siwezi kunywa sumu kwa sababu yanga ndo kila kitu
  4. baba aura

    Magneto na wiring ya boxer

    Wakuu habari ya week end,naomba mnijuze anaejua bei us magneto mpya na wiring ya boxer bm 150
  5. baba aura

    Mbarali: Kijana adaiwa kuchomwa visu sehemu za mwili

    Ametibiwa Ila hakuna sheria zinazochukuliwa
  6. baba aura

    Mbarali: Kijana adaiwa kuchomwa visu sehemu za mwili

    Habari wa kuu, kijana moja anaefahamika kwa jina la meshaki mkazi wa kitongoji cha makondo "A" amechomwa na kisu sehemu kadhaa za mwili na aliyetendanda unyama huu ni jirani take, suala hill limeonekana kufumbiwa nacho na viongozi mtaa pamoja na afisa inasadikika kuwa mtuhumiwa ametoa rushwa ili...
  7. baba aura

    Pikipiki yangu inachelewa kuwaka

    Kwa hiyo mkuu hats nikiweka motor mpya tatizo litakuwepo palepale?
  8. baba aura

    Pikipiki yangu inachelewa kuwaka

    Thanks mkuu but motor za boxer bei gani?
Back
Top Bottom