Recent content by baba anjela

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kukuza soka la Tanzania TFF rudisheni mashindano ya mikoa

    Ukiangalia soka letu la leo kweli vijana wanaonyesha uwezo mkubwa ila naamini wapo wengi zaidi ila wanakosa nafasi ya kuonekana, mashindano ya mikoa yalisaidia sana vijana wengi kuonyesha vipaji vyao, Leo timu nyingi za ligi kuu zinaingia gharama kubwa kusajili wachezaji kutoka nchi mbalimbali...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Formula uchanganyaji wa chakula kuku wa mayai miezi 2 hadi 4

    Habari ndugu zangu, Naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4. Naomba nitumieni.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natatuaje tatizo la mboga mboga kwa kuku ikiwa mboga zinauzwa gharama?

    Kuna kitu kinaitwa hydroponic fodder nenda YouTube utaona njia nyepesi ya kuzalisha majani....tena utapunguza matumizi ya chakula kwa kuku.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Seven things God hates

    Nini maana ya neno siasa...hapo ndipo palipo na shida...siasa safi ni lazima tumtangulize Mungu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Seven things God hates

    Proverbs 6:17-19 1.Eyes that show pride, 2.Tongues that tell lies, 3.Hands that kill innocent people, 4.Hearts that plan evil things to do, 5.Feet that run to do evil, 6.Witnesses in court who tell lies 7. Anyone who causes family members to fight. MY PEOPLE LET US TURN TO GOD WHAT WE ARE...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mkuu wa mkoa wa zamani wa Dar es Salaam Paul Makonda

    Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii. 1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako. Na kama alikupendea...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri Paul Makonda jinsi ya kukabiliana na changamoto anazopitia

    Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii. 1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako. Na kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kwa gharama hizi za umeme, tutawasha chemli hakuna namna

    Jamani, TANESCO naomba nielewesheni Jana nimenunua umeme wa 200000 lakini nimekatwa vat 29500 Ewura 14000 Rea 4900 Swali ni kwann mimi mteja nikatwe pesa zote hizi wakati umeme nguzo nalipia waya nalipia na mita nanunua sasa swali langu ni kwann nikatwe pesa hizi Source CarolNdosi Twitter...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania mbona tunakosa mwelekeo? Mabaya tunalalamika, mazuri tunaponda. Sasa tufanyiwe nini?

    Kwa kweli ni mambo ya kushangaza sana tukio la Lissu kukutana na mama na shangaa watu wakiponda na wengine kuingiza ushabiki wa vyama. Wote ni viongozi na wanasiasa wanachokiongelea si kwa faida yao tu, bali kwa nchi nzima au tulitaka hivi vikao vifanyike kwa hisani na shinikizo la UN au USA...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, wauzaji wengi wa pembejeo za kilimo hawana utaalamu wa kilimo na mifugo

    Soma vizuri nimeandika dawa tofauti na ugonjwa tofauti....
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, wauzaji wengi wa pembejeo za kilimo hawana utaalamu wa kilimo na mifugo

    Sasa matusi ya nini ...hii ni mitazamo ..ukiona nimesema hivyo tambua ndipo maumivu yangu yalipo,usitake maumivu yako ndiyo yawe ya kwangu, huu ni mtazamo wangu mimi ... kama hoja yangu kwako haina mashiko... ignore then andika ujumbe wako...watu wote hatuwezi tukawa na mitazamo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, wauzaji wengi wa pembejeo za kilimo hawana utaalamu wa kilimo na mifugo

    Mh Bashe , wewe ni miongoni mwa mawaziri mnaochapakazi na zinaonekana, hongera sana. Ombi langu kwako nalielekeza kwenye maduka ya pembejeo za kilimo na mifugo...kwakweli kumejaa makanjanja wengi sana. Wauzaji wao wengi hawana utaalamu wa kilimo au mifugo. Na wale walio na wataalamu basi ni...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri,asiyemjua Yusufu (kitabu cha kutoka 1:8-10)

    8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. 9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. 10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. Kutoka 1:8-10

    8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. 9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. 10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana...
Back
Top Bottom