Bado kuna kale kamtindo ka tip kwa vinyozi, kunyoa sh 5000 tip 2000 basi usipomtoa tip next time anakua anakupalua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kenge mdogo uwe unaelewa swali! Nimekuuliza wale madiwani Wa chadema arusha wanaohamia ccm nao ni kwa sababu ya hayohayo maendeleo ya huko kanda ya ziwa.
Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
Hebu type mrejesho hao diakiporo wamewahi rejesha nn kilichoibiwa mpaka tuwathamani! Bora ma despora Wa ndani kwa kwa wale wakichachaka wanaenda kutafuta mikoa ya mbali wanafanya maendeleo kwao moshi
Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
Tatizo vjana mnapenda sana Yale mambo ya kina bitoke benpol na Yale ya kingi kiba na mavoko sasa mkisikia habari nzuri kama hizi mnaleta siasa zile za mlengo Wa kushoto tu.
Siku tafiti tafiti hizihizi zikipindua matokeo na kuwa magufuli 20% chadema 80% great thinker hawahawa watanyanyuka na kusema yes hizi ndo za ukweli sasa! Waswahili bhana
Jambo la msingi hapo sio kukaa kimya na kisusia miswaada. Serikali ya ccm inatakiwa ipigiwe kelele mpaka dakika ya mwisho tena kwa nguvu zote ili wanapoleta hi miswaada angalau wawe wamejidhatiti kinadharia.pia unatakiwa ujue kua upinzani unatakiwa kujijenga tokea bungeni kabla hata ya kufika...
Akili mgando kabisa! Kwahiyo kama alipiga makofi wakati huo ulitaka tusubiri mpaka lowasa awe rais ndo avunje hiyo mikataba kwasabu hakupiga makofi eti eeeh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.