Recent content by ba lycopene

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO DSTV ni Mr. Kuku wa kikaburu

    yani Azam uilinganishe nDstv.lalamika huna hela azam ovyo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kila anayemgusa Lisu kwa ubaya, "ANANUKA".

    kiukweli sijasikia na alichomwa kisa nni nanani?
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    hata kama ni mahaba kwa ccm, umezidi. hivi ubongo wako uko sawa kweli?usipoelewa na hili kunautakacho elewa kweli,
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimezaa nje ya ndoa nifanyeje nimweleze wife?

    wakati unaenda kwenye uzinzi mbona hukutushirikisha? tungekushauri mapema
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kila anayemgusa Lisu kwa ubaya, "ANANUKA".

    mmh, hizo taarifa za afande aliyemsukuma lisu kuchomwa kisu na sasa ni marehemu, umezipata wapi mkuu?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Feni za mapanga ni hatari kwa nini hatuchukui tahadhari?

    Nilishawahi ona chuoni dar,nihatari kabisa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na sera na misimamo yake, Donald Trump anaweza kuuawa wakati wowote

    Unajifariji tu,hata kipindi Cha kwanza mlisema hivyo,ooh,atauwawa,mpaka akamaliza.siyo rahisi kama unavyodhani
  8. B

    JamiiForums Tanzania Baada Marekani kujitoa katika misaada ya bure duniani, haya basi China iliyokuwa inajitutumia ije!

    Uandishi wako tu,tosha kabisa kijua akili Yako ilivyo.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda

    Hapo unamaanisha nni,unaandika kama unajiandikia mwenyewe
  10. B

    JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    Nasikiaga Rwanda Iko juu,mbona haimo top ten?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba ufafanuzi wa milipuko ya kila siku katika Milima ya Uluguru

    Jitahidi uwe unatumia hata robo ya ubongo wako kujibu,mtu kauliza swali Kwa Nia njema unajibu ujinga.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha wasababisha Wananchi kununua Utumbo badala ya Nyama , Sikukuu ya Idd Yadorola

    Kula sometimes ni choice,mi Leo nimenunua utumbo,siyo kwamba sikuwanauwezo wa kununua nyama.,hapana.so take it easy brother.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Sioni kosa la baba Catherine,anakupenda, kupenda hakuna idàdi.unaweza kuwapenda hata kumi
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anakumbatia viongozi na watendaji mafisadi?

    Una uhakika na ufisadi wao?
Back
Top Bottom