Recent content by Ba Jau

  1. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari Wana Jamii Nimepata laini ya safaricom Naomba msaada na ya kudeposit kwenda safaricom
  2. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi nko mwanza kiongozi,naweza pata na mimi kupitia huyo jamaa yako.
  3. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukrani Kiongozi,huu ndio ushirikiano unaotakiwa lengo letu humu ni moja tu kupiga pesa. Ila nimeona kiwango cha kuwithdraw ni kama 72 elfu.
  4. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni Jamaa wa M - Lipa au?
  5. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unakosea wapi Bro Mbona mi Jana usiku nimetoa 123000 Baada ya game ya Mancity kama dakika 5 hivi Pesa ikaingia.
  6. Ba Jau

    Ninapendwa sana na wanawake wakubwa sana kwangu

    Labda una sura ya kizee wanajua ni Mzee mwenzao.
  7. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi nipo Ghana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi nipo Mwanza Kama vipi Tuwasiline Kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh pole sana, Mi yalinikuta ya Kudeposit nilideposit most bet Hii wiki ya 3 sasa hela haijaingia kwenye akaunt. We ulitumia njia gani kudeposit? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo Kampuni Majizi Tu. Nilidelosit pesa hii wiki ya pili sasa pesa haijaingia. Na msg zote za miamala nikipata. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ba Jau

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wenzangu wa pawabet,withdraw inakubali kwenu?
Back
Top Bottom