Recent content by ba boom

  1. B

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    ? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    ? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    huyo waziri alikwenda safari yenye tija?.hizi hela kama ingekuwa sisi maskini tungekatwa kwenye mishahara yetu mpaka tunakufa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    mijutu mingi humu haijui hata lissu kazungumza nini .ni mimbumbumbu .lissu kSema deni lilitokana na kufukuzwa kwa wakandarasi bila ya kufata utaratibu na wakashinda kesi hao wakandarasi ila mijinga mingi humu haijaelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Zitto na kwa hili utatuambiaje?

    aje huku TFF achezee mitusi ya watu wa mpira .huku nkiboa ni mitusi tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa chama cha upinzani kuteuliwa mkuu wa mkoa (katiba ya CCM) akikubali ni kukosa uelewa

    FEA wa mivalooo eh fea .baba na mwana wanaimba na kucheza .tin tin tin oh feyaaaaaa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kongamano la demokrasia laahirishwa baada ya serikali ya Mkoa Dar kuzuia ukumbi

    huyu jingalao nadhani ana minus katika vyeti feki ana feki na ni div.0 .madi ni kuahirishwa kongamano .na mrema mbina humsemi tlp na cheyo mbona humsemi .
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Mwenge wanazama taratibu taratibu ni nani atawaokoa?

    hahaa nyinyi mnayaona ya mwenge tu.karia koo wenye maduka maji yafika mpaka puani .maduka yanarudishwa moja moja .hii ni baada ya kuletwa wale wanaopanga mbele ya maduka
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na Siasa za visasi na kususa

    uwelewa wako mdogo mno unaaanda post kiurahisi kiurahisi tu .maalim seif hana silaha nyengine ya kujitetea hana dola wala hataki watu wa uawe .wewe untaka awaambie wafuasi wake watumia maguvu kama nyinyi .wewe nu mungiki
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kununua ndege “Kimeo” aina Boeing & 787-Terrible teen

    sasa bila ya kuhoji hizo safari za njee za kwenda kufatilia zingepatikana vipi? hao watakao pata nafasi ya kusafiri wanatakiwa wawashukuru wananchi na zitto kwa kufafunua suala hili
  12. B

    JamiiForums Tanzania Moshi: Yaliyojiri Mei Mosi 2017, Rais Magufuli amwaga ajira Elfu 52, madaraja kupanda....

    fukuza UNDP wanaleta choko choko
  13. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa lazima viwe na ofisi nzuri, hebu ona hii mifano

    vyama vya siasa vinataka viruhusuwe jufanya mikutano na sio kuwa na majengo mazuri .unaaki za kibepari
  14. B

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya nje: Tanzania wana maisha MAGUMU

    wewe mtoa post ndio utaabika wewe .waache watanzania waseme ukweli .maisha yamekua magumu au labda wewe. i fisadi
  15. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    mimi nazani hesabu itakuwa imekosewa badala 9932 ilitakiwa iwe 9932+ 1 , but who is this +1only god know
Back
Top Bottom