Recent content by B47 GN9

  1. B47 GN9

    Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Je, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
  2. B47 GN9

    Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

    Mim ni mmoja wapo kwanza nimeishia darasa la 7 na kwenye ukoo wetu hakuna mtu alie vuka elimu hiyo baba yangu alikuwa mlevi mzuri kaka yangu pia n mnywaji mzuri ila mimi na ndugu zangu wengine wa 2 hatunywi pombe kabisa mama alikuwa mlevi japo kama miaka 13 ilio pita aliacha pombe kwa kifupi...
  3. B47 GN9

    Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

    Nchi ili iwe imara na Rais awe imara na nguvu kwenye uendeshaji na uongozi wa nchi ni lazima kuwe na vitengo vya ujasusi vilivyo imara na vinautii nidhamu uaminifu mkubwa na siri kwa Rais sasa Congo wanashida kwenye vitengo vya usalama huwezi panga jambo na wasaliti ukafanikiwa maana Rais hawez...
  4. B47 GN9

    Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

    Kuna shida moja ya kupambana na waasi ambayo watu wengi hawajui kuendesha vita kuna sheria zake za kimataifa unavyo pigana inakulazimu kufuata sheria hizi sheria majeshi yote rasmi ya nchi hutakiwa kuzifuata lakini waasi na makundi ya kigaidi hayafuati sheria sasa kupigana na mtu asie fuata...
  5. B47 GN9

    Sheria ya Pasu Kwa Pasu ifutwe Kwa Hoja zifuatazo

    Sawa unakuta chai na nguo zipo safi na watoto unakuta wako salama swali je unatambua kuwa siku hizi nyumba nyingi kuna wadada wa kazi na wanalipwa pesa kwaaajiri ya kupika kusafisha nyumba kulea watoto kufua kwenda sokoni kazi zote hizo zinafanywa na wadada wa kazi wanawake hawafanyi hizo kazi...
  6. B47 GN9

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Vijana wapo sahihi ndoa za sasa ni kero wanawake hawana adabu unaishi na mwanamke ndani hana maana yoyote unaishi na mwanamke anataka mashindano nawe yaaa nawashauri vijana hasa wa mikoa ya Iringa Mbeya Njombe na Songwe ishi mwenyewe ukishindwa kabisa kabisa basi unapo taka kuoa wanawake basi...
  7. B47 GN9

    Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?

    we mtoto hiz kelele zote hizo gari unazo miliki ni aina gani ya gari na hivyo viwanja vipo mkoa gani na eneo gani maana unaweza kuwa unatupigia kelele ukijumlisha huto tuvitu twoooote milion 150 haifiki acha kelele wenye hela hawana kelele siku ukifika bilion moja cash si ndo utatukana mpaka...
  8. B47 GN9

    750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

    Mmm uwe na mke mpanga bajeti na mchungu na maisha ndio utatoboa laa ni ngumu hawa wake zetu wanao taka kila siku elfu 20 na ndani kuna mchele unga maharage mafuta vitunguu roba ya sabuni unga sabuni mche ges mkaa maji nyama kwenye freg kuku samaki na bado kila siku anakwambia matumizi ya...
  9. B47 GN9

    Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

    Achana na kuchoma tu ila kuna kero ya makelele ya maspika ya adhana na swala Karikoo imejaa misikiti mida ya adhana si makelele hayo hasa saa 11 watu tunamalizia usingizi unaamshwa na makelele nashukuru kuna mzee mmoja alikua akiadhini kwa makelele huku akikohoa mara nyingi amekufa juzi kazikwa...
  10. B47 GN9

    Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

    Zanzibar kuna waislam limbukeni na washamba na huo uislam
  11. B47 GN9

    Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Watu wanachanganya kati ya harusi na ndoa harusi ni sherehe inayo tokana na ndoa sasa jamaa anauliza wapi aya kiongozi wa dini alifungisha ndoa na mimi niongez ni jengo gani la ibada enzi hizo za mitumi ilionyesha kuna ndoa inafungwa ndani ya jengo hilo aya moja tu
  12. B47 GN9

    Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

    Hiyo ndio raha ya mambo ya MUNGU kila mtu huelewa kwa akili yake ya kuzaliwa na sio ya kusoma sana ndio maana unamkuta mtu anaejua kusoma na kuandika ameelewa vizuri maandiko kuliko professor mwenye mielem mpaka inamwagika unashanga kumkuta msomi anasali sara ya rozali wakati kwenye biblia haipo...
  13. B47 GN9

    CCM 2022 yafyeka waliofyeka wenzao 2020 - CHADEMA watakuwa na nguvu za miaka ya 2005?

    Chadema au chama kingine chochote hakiwezi kuwa na nguvu za kufikia kuitoa ccm madarakani ikiwa katiba itakuwa ni hihi na Tume ya uchaguzi ni hii mifumo ya Serikali nii hihi ni ngumu mno mnafikiri chadema inaweza kuwa na nguvu nafikiri hamjaribu kutafakari juu ya mifumo yetu na jins wananchi...
  14. B47 GN9

    Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

    mkuu hawa watu tunashindwa kuwaelewesha ni kwa sababu kuna nyakati sisi wenyewe hatuelewi Yesu hakuwahi kuiona Biblia Yesu hakuwahi kuwa mkristo ila yeye ni Kristo kwanini Yesu hakuwahi iona biblia ni kwamba nyakati za Yesu vitabu vyote vilikuwa yaani ni kama leo shule ya msingi kuna masoma 7 na...
Back
Top Bottom