Ni biashar inayolipa kweli ukiwa sehemu yenye mzunguko mzuri ila changamot yake kubwa ni wezi na matapeli ni wengi mnoo na Wana mbinu tofauti tofaut so ni swala la kunchunga sana... En in addition kwenye hii biashara sometimes pana kuwag na mambo ya chuma ulete nalo pia ni swala la kuwa nalo...
Kwa fikra zangu anaweza akawa ameanza kuvuta bangi maan for some people ndo zinakuwaga side effects zake au ameanza tabia ya ushoga au amepata maambukizi ya ukimwi au magonjwa mengine ya zinaa yaliyopelekea kuharibu saikolojia yake.. ni vyema atafutiwe canceller wa kuzungumza nae haraka...
Kwa uelewa wangu biblia inasema mmoja akipatikana na hatia ya kuchepuka ndo ndoa inavunjwa lakini pia kanisa linaongezea na kusema kuwa kama mmoja wao ameugua kichaa ndoa inavunjwa (nahisi ni kwasababu za kiusalama), kunyimana unyumba bila sababu za msingi au mmoja wao kutokuwa na uwezo wa...
Kukutana na huu uzi nimeshtuka Hadi nikahisi ni Mimi naelezewa nafsi yangu maan nakutana na changamoto hiyo hiyo haijapishana popote sema tu mtoto wetu ana miezi Tisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.