Akipewa hiyo naafasi lazima atakua na ilani ambayo ina agenda za chama. Kwa mfano anaweza akasema akichagulia atabadili katiba. Katika hili wapinzani wanaweza wakamuunga mkono na hakutakua na tatizo lolote. Ila akisema ataendeleza pale alipoishia JPM kuhusu kutoruhusu wasichana wenye ujauzito...
Natumaini mko salama wanajamii. Napenda kujumuika na Watanzania wengine wengi ambao wameshaandika kuhusu siasa zetu kama taifa na jinsi zinavyokanganya hasa wale wenye taarifa finyu, wasio na uwezo mkubwa wa kuchambua yanayotokea katika medani za siasa na wachanga katika nyanja za siasa...
Nina watoto wangu mmoja 8yrs na mwingine 7yrs. Ningependa kupata mwalimu wa kuanza kuwafundisha kucode polepole. Niko Arusha. Ni wapi kuna shule ya namna hii? Asante.
Mi nadhani pa kuanzia ni kuangalia mali zote walizokuanazo marehemu wote na kuchunguza zimepatikanaje. Hapo utaweza kuibua mnyororo wa hiyo inayotajwa kuwa dhulma. Wakitoka hapo waangalie mali za polisi wote wa eneo hilo na kuchunguza pia. Mfano magari, nyumba, viwanja, mashamba n.k.Rekodi...
Daah siamini. Yaani leo nimeulizwa swali na kijana wa sekondari kuwa..."ukiwa na mtoto wako unamuamsha asubuhi awahi shule na huku umebeba ada ukalipe ili asirudishwe nyumbani akakuuliza kwa nn unahangaika?.... kuna fursa kama za huyu bwana Bashite ni bora tukazilenga hizo kuliko kuhangaika"...
Mo
Moreover, kuna madawa mengi sana ya hospitalini ambayo yana kemikali zinazopatikana pia katika dawa za kulevya, mojawapo ni dawa maarufu za usingizi. Pili kama anatumia kwa nini wasingemchunguza taratibu wakamkusanyia ushahidi mzuri na kumkamata akinunua au akiwa nayo kabisa tayari kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.