Recent content by Azoge Ze Blind Baga

  1. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Yupo busy mno kuchat na msela nafikiria kumtimua

    Kama title inavyojieleza Maskani naishi na binti wa 2005 yapata miezi 7 sasa ni ile sogea tukae Mwanzo tulikua vizuri furaha na upendo ulitawala, nilimpa huduma zote mtoto kanawiri Mwezi wa 6 nikaona binti yupo busy sana na simu kuchat hadi ufanisi wa baadhi ya mambo ulikua mbaya...
  2. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanipeleka Gerezani kwa roho mbaya

    Akizingua mpigie nyeto tu unalala
  3. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

    Muha
  4. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Serikali yabaini Saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ni Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi wa Kina mama, Damu, macho na figo

    Kweli huku kanda ya ziwa saratani ni nyingi na magonjwa ya figo mimi mwenyewe ni mhanga wa CKD
  5. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Hivi yale madini ya Uranium yaliyogundulika kule Namtumbo-Ruvuma yanachimbwa au CCM washayauza kwa mabeberu?

    Nakumbuka kipindi cha utawala wa JK kule wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma iligundulika hazina kubwa ya madini ya Uranium Ila tangu wakati huo sijasikia mwendelezo wa uchimbaji wa madini hayo ambayo ni muhimu kwenye nishati na mambo mengine. Je CCM wameuza kwa mabeberu au shida ni nini hadi...
  6. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Is this fashion or madness?

    Duuuh! Mwanamke mkavu kama chapati iliyolala wiki hiyo K imekaukiana kama mzoga wa chura
  7. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yeyote Dar es salaam au popote Tanzania

    Umechoka kuteswa na mke wako eti??
  8. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Kipi bora-Kumchangia mgonjwa au Marehemu

    Nipo nimekaa hapa nawaza Kwenye haya maisha kipi bora kumchangia mgonjwa ambaye amelala kitandani akipigania maisha au kumchangia marehemu aliyelala kwenye jeneza safari ya kaburini kwenye nyumba ya milele Hapa nina michango mingi ya rambirambi na kuna kila jumapili tunachanga kwa ajili ya...
  9. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuanza kuishi na mwanamke ghetto nimeanza kupendwa na wanawake wengine

    Posa bado ndo nipo kwenye mchakato
  10. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuanza kuishi na mwanamke ghetto nimeanza kupendwa na wanawake wengine

    Nimekaa kibachela muda mrefu sana, nimeteseka sana na upweke nikawa najiliwaza na mkono bao au kupiga mgalala Siku zote hizo mademu walikua wananikataa kila ninaemtia vocal anadai ana mtu wake Hatimaye nikapata toto la 2005 toto bichi linalojua kucare nikaanza kuishi nae ghetto Cha ajabu kwa...
  11. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Hii ndo Breakfast sio hicho kipande cha mhogo na uji wa dona

    👇👇👇😋
  12. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za ajira jeshi la polisi

    Nataka kumsajili mtu kwenye mfumo wao wa ajira mtandao unagoma kufetch taarifa za NIDA aliefanikiwa anijuze inakuaje
  13. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tumenuniana mi na mke wangu

    Nimetengana nae since 2023 Mmoja wa kwanza yupo shule wawili wapo na mama yao
  14. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tumenuniana mi na mke wangu

    Ndoa Ndoano Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia...
Back
Top Bottom