Cha kukusaidia tu ili upate ukweli wa mambo anza kusoma vitabu vya hzo din zote kisha mwsho utakuja jua ukweli umekaaje vinginevyo tutajaadili mengi lakin yote yatabaki kuwa ni dhana tu na huwez pata jibu sahihi
wew nawe huna hoja hao wahind unao wadai ni wenyeji hapa wana idadi chache hapa nchini kuliko wa kristo hvo ndyo sababu waislamu tunawaelimisha ninyi mlio wengi ili mpeleke na elimu kwa wengine walio potea
Hiv umelewa.nin kwa hyo aya hapo kweli nyinyi mioyo yenu imewekwa vifuniko subir umauti ukufike ukiwa kafir ndo utaelewa hcho unachokiletea mzaha hapa kuwa hakistahili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.