Uzalendo hauna rangi ila kuhusu suala la kuiendeleza coco beach ni aidia mbovu coz wengi tunaoenda pale hali zetu ni za chini sana sasa wakitaka kujenga beach ya kisasa unafikiri kiingilio itakua bure? je walala hoi watabakiwa na beach gani tena? beach zote za kigamboni zina kiingilio ndio mana...
Fikria mbali kaka, kwanza tunahitaji kodi yetu irudi pamoja na faini then mashitaka yanaweza kuja baadae coz haya yalitokea uongozi uliopita na ni chain kubwa lakini kwa wale watakaokwepa kodi wakati JPM ni raisi nakuhakikishia lazima watachukuliwa hatua za kisheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.