Am so worried! Kwanini suala la ulinzi wa kura ni 'chukizo' kuu la wana CCM?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,618
20,946
Tunashuhudia mambo ya ajabu kabisa katika taifa letu!,
Iwaje suala nyeti la ulinzi wa kura,liwe chukizo na jambo baya kweli kwa wana ccm,tena likisisitizwa na ngazi zote za kichama!
Ni nini kipo nyuma ya pazia?
Tunaweza kuthubutu kusema kabla hata kura hazijapigwa ya kwamba "This is not a fair elections"
Kwani hiki ni kiashiria tosha kabisa,cha kuonyesha haki haitaweza kutendeka!
kwa nini wasiwe huru?kwa kuachia mambo yakaenda accordingly to laws,
This is a great sign of fraudietly that could ignite disaster to our beautifull country,
""haki ndiyo amani""
""kuiombea makanisani ni mbwembwe tu""
""mapadri,maaskofu,masheikh waimizeni viongozi wetu wa kitaifa kutenda HAKI na kumwogopa MUNGU,HAKI HUSIMAMISHA NCHI,BALI UNAFKI,UONGO,WIZI,KUPINDISHA HAKI hubomoa TAIFA.
 
200 meters kutoka chumba cha kuhesab kura unalinda nini? Wewe kweli uko timamu? Acha kuwa kama teja ambaye hajawai hata kuona blackboard..
 
Tatizo magamba yamekabwa si wamezoea kuiba kula kila chaguzi,safari hii lazima wale za uso
 
200 meters kutoka chumba cha kuhesab kura unalinda nini? Wewe kweli uko timamu? Acha kuwa kama teja ambaye hajawai hata kuona blackboard..

Sasa kama ni mbali kiasi hicho mbona still hata umbali huo watawala hawautaki mkuu,kwa nini wasichekelee wapige mambo yao kimiya kimiya kuliko kutumia nguvu kubwa kiasi hicho kuupinga kwa matamko umbali huo?
 
Chaguzi zetu kamwe haziwezi kuwa za huru na haki kwa kadri tume ya taifa ya uchaguzi itakapendelea kuundwa na mwenyekiti wa CCM ambacho nacho kinashiriki chaguzi hizo hizo zinazoendeshwa na hiyo hiyo tume iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM.
 
...ukweli mchungu; but lazima nikampigie kura Lowasa wala sijali, na mwisho wake lazima niuone.
tumeshaburuzwa sana,inatosha bana!
 
Nimejiandaa vyema, shopping ya kutosha kwa wiki ijayo ya vyakula, maji(kwa ajili ya yale mambo yao yale), Power banks, Generators etc. na kikatio changu nimekinoa nikisubiri kupitisha juu ya shingo ya CCM.

Hapa wakileta kauli zile za PM "Liwalo na liwe" au "Wapigwe tu" nitakuwa vyema.
 
200 meters kutoka chumba cha kuhesab kura unalinda nini? Wewe kweli uko timamu? Acha kuwa kama teja ambaye hajawai hata kuona blackboard..
Kama utaitumia akili yako fully utabaini kwamba key strategy ni kudhibiti magari yasiyoeleweka to and from the poll centre..
 
Saaasa sie tunaokaa mita 5 toka vituoni tuhame...tutawakomesha tu fisiem
 
Wanaongangania kukaa meter 200 wakilinda kura nina wasiwasi na uwezo wao wa kufikiri

Ukitafsiri kisheria hapo ni sawa na kusema ni marufuku kukaa kwenye eneo la kituo cha kura bila sababu maalum inayo tambulika kisheria. Sisi wa bonngo kwa sababu ya uwezo mdogo wa kutafsiri sheria, ikabidi ianishwe na idadi ya mita.

Kila Chama kitakuwa na wawakilishi ndani ya kituo walioteuliwa na Chama husika kulinda kura...wewe mt 200 unalinda nini?

Siku nzima umekaa mita 200 unalinda kura, unakula nini??? Hakuna Raisi atakayekuja kugawa fedha kwa watu!!!
Hata mungu alisema< Asiyefanya kazi na Asile!!!
 
Back
Top Bottom