CDM kama chama wameipendekeza hoja hii kwenye bajeti, kwa hiyo ZITTO ametekeleza pendekezo la chama chake ''ie hana makosa kwa chama, pia amejijenga kisiasa. Ikiwa hoja ya CDM ya kufuta posho ililenga kwa dhati kuleta maendeleo kwa wananchi, hawana budi kumuunga mkono ZITTO, na hilo...