Recent content by Aziz10

  1. Aziz10

    Nani Wakala humu ndani? Mawakala mmebeba dhamana yetu

    Mimi wakala chadema
  2. Aziz10

    Uzinduzi wa Kampuni ya simu ya HALOTEL Live TBC

    Dah niliwasubir kwa hamu kubwa kweli inabidi niendelee kuyakubali maisha ya tigo
  3. Aziz10

    Vodacom Tanzania, haya yatawaondoa sokoni

    Yaan tumewachoka tigo voda wanakubaliana kutuumiza wateja wao washaona shamba la bibi yaani hao halotel kama watakua poa line natupa kule
  4. Aziz10

    Baada ya UKAWA kushindwa kwenye mikutano ya Kampeni, wageukia mitandao ya kijamii

    Mnapoteza muda wenu kuandika topic ndeeefu haisaidii kitu tumesimama aliyekutuma mwambie pazito tafuteni mbinu nyingine mmeshinwa ya Dr. Slaa, Lipumba, ukanda, udini, ukabila,ugonjwa zote hiz mmecheka sasa mnababaika hiyo ni trela picha kamili OCTOBER 25 usubuhi mapema Mungu ibariki Tanzania
  5. Aziz10

    Wizi: Tigo wanaiba internet bundle!

    Yaani tigo kuna ufisadi mkubwa
  6. Aziz10

    Toa neno moja tu kwa picha hii

    Umeona nini?
Back
Top Bottom