Recent content by Azicathy

  1. A

    JamiiForums Tanzania Bibi harusi amkimbia bwana harusi baada ya kugundua si muhasibu wa shirika la mafuta kama alivyoaminishwa awali

    Better to be faith and that faith will make u free
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bibi harusi amkimbia bwana harusi baada ya kugundua si muhasibu wa shirika la mafuta kama alivyoaminishwa awali

    Kwa kweli hata dada yangu alimkimbia me sababu ya uongo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ndiye Bujibuji, boyfriend, mchumba, mume na baba mwenye nyumba

    Wanaume kama hap ktk mia **** mmoja tu hao wengine walishakufaga WW2
  4. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Kwa kweli kama ni kuchepuka ndo sifa ya mnyama basi wanawake ndo wanyekuwa wanachepuka. Kuliko hapa hao wanaume coz wao wanafuatwa na me wengi so kama ndo kuku basi kila jigoo lazima likupande but we a human thats why tuna akili ya kuchagua nankufanya maamuz so me msijitete kwa kuona nyie...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Mhhhh una mambo kaka
  6. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Ni kweli unacho kiongea lakin kuolewa kwa mwanamke hakumzuwii kuwa na michepuko kumbuka
  7. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Hiyo tafitu yako ya kilocaly sijui umeitowa wap na wakati hapahapa tanzania unakuta ke anamahusiano zaid ya me wa tatu alafu unasema eti ke wapo mara nne ya me wacha uongo ww
  8. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Ww ndo umeona hivyo lakin ujue kwamba na ww kwa nanamke haupo peke yako yaan ukweli ndivyo ulivyo
  9. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Sio nature yanwanaume sema nature ya wanaume wa kiafrika coz asilimia kubwa ndivyo mlivyo japo sio wote pia
  10. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Mbona hata men are differ utakuta kuna vibamia kuna mashine na mashine nazo zimetofautiana utakuta kuna nene kuna nyembamba na kadhalika
  11. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Ss hatushangai sema tu na nyinyi mnashindwa kuelewa kuwa kama me anamahusiano na ke zaid ya mmoja ina maana na ke nae anamahusiano na me zaid ya mmoja kwa nn nasema hivyo sababu kama ww ni mme na una uke ndan na ukamuona mwanamke mwingine mzur ukamtaman na kutembea nae kumbuka hapohapo pia kuna...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Mambo yote ya kihistoria yaliyofanywa nanwanaume ndo yaliyo andikwa sio kama wanawake hawakufanya walifanya sana sema sababu ya mfume dume ulio kuwepo toka mwanza vya me ndo vilivyo onekana
  13. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Mme akichepuka na ww unachepuka coz unatongozwa na wanaume kama yeye so akishindwa kukuheshimu haina haja ya ww kumheshimu na ww full kuchepuka
  14. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Thats true kwa sababu kama ni kuchepuka kila upande una uwezo wa kuchepuka so ukiheshimiwa na ww heshimu ukipendwa na ww penda
  15. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

    Kinacho nifurahisha ni kwamba si wanaume tu wanachepuka hata wanawake tunachepuka sana tu mbona ila kiwango cha wanaume hakija wafikia wanawake kwa kweli
Back
Top Bottom